wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

    Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mahinyila amesema wao kama vijana hawataki fedha alizofuata Lissu Uganda

    Wakuu Lissu ameenda Uganda na nimeona hii Taarifa hapa je ina uhalisia wowote?
  3. JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya nusu saa tunasubiri mwendokasi hapa faya ya kwenda feri sasa sijui wamegoma au utaratibu wao

    Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
  4. JamiiForums Tanzania CCM wanajua kum-brand mgombea wao

    Japo muda wa kampeni haujafika ila CCM washaanza kum-brand mgombea wao, kitaalam imekaaje?
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna chochote nacho admire kwa hawa wanaojiita manabii na utapeli wao ila kwa namna walivyo badirisha ulaghai wao kuwa uhalali, should be studied.

    Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo. So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
  6. JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA wadai kuzuiwa msibani kwa mwanachama wao, kufuatia maagizo kutoka juu

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe na kuna wanawake wanawakataa watoto wao

    Hii imeniumiza sana story ya huyu dogo
  10. JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Rais anaongoza, wao wanamkejeli anafanya comedy?

    Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii. Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
  13. JamiiForums Tanzania Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wazazi kuwaaandalia watoto wao mazingira ya kazi kama ilivyo jamii za kipemba ,kiarabu na kihindi.

    Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira. Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa . Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  16. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
  17. JamiiForums Tanzania Geti la Jahanamu wanalotaka kulifungulia Trump na Netanyahu huko Gaza, waangalie vyema lisije likafungukia upande wao

    Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza. Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  19. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

    Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya madai yana mashiko?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…