wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ccm na machawa wao wakisikia neno Lissu wanatetemeka hadi kushikwa matumbo ya kuhara.

    Nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini ccm na machawa wao wakisikia neno Heche na Lissu Huwa wanahara? Naomba majibu tahadhari.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao

    Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21. Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi. Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
  3. JamiiForums Tanzania Prof.Kitila : Halmashauri Zimeacha Wajibu wao wa Kuchochea Shughuli za Uzalishaji na kujikita Kuunda Tozo ambazo ni kero wa ustawi wa Wananchi

    My Take Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini. Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
  4. JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai kijana wao kupigwa na Polisi, na kulazwa Bugando hospital Mwanza

    Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza. Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania 🔥 Kutoka Kongo Hadi Morogoro: Miamba Mitatu ya Rumba na Jinsi Watoto Wao Walivyobeba Urithi wa Wazazi

    Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria. Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

    Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali. Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu kuhusu uchaguzi wa Oktoba, kakataa kukutana nao kwa kujua nia yao ilikuwa ni kushawishi akubali...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyomuokoa Trump mikononi mwa mahasimu wao wa Iran ambapo Trump alikuwa auwawe

    Israel iliionya Marekani kuhusu mipango ya Iran ya kumuua Trump kwenye Air Force One, ilisaidia kutoroka kwake. Kulingana na ripoti hiyo, kufuatia tishio hilo, Trump awali alipanda, mbele ya vyombo vya habari, ndege ambayo hapo awali ilikuwa Air Force One...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  13. JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
  14. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati wanaCCM wanahangaika kumparura Dk Nchimbi CHADEMA wao wanapambana kupata sapoti toka kwa wananchi.

    Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone. CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030. Hii inaonyesha namna gani CCM haipo kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yao.
  16. JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika hawawapi jina la Yesu watoto wao?

    Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume? Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Mkong'oto Umewaingia kisawasawa na ma sponsor wao Iran wamebanwa hawana pesa, Hamas yasema ipo tayari ku surrender,

    Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi hazidumu kwasababu watoto wengi wazazi wao walikuwa mashangingi.

    Hellow wana JF. Ukioa/olewa na mtu ambaye mama yake au baba yake ni shangingi yani hawajui chochote kuhusu ndoa there is no way kwamba hiyo ndoa yenu inaweza kudumu. Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu, ndoa zimekuwa cancer kwasababu watu wengi wametoka kwenye mikono ya wazazi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Tujitafakari, Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji? Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…