wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume hatutoboi bila wanawake

    Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli. Chukua chuma icho. Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Marais wanawake wa kiislam duniani

    Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha 1. Halimah. Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023. Rais Samia Suluhu Hassan Upto 2035(inshallah) SIFA KUBWA YA...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake NENDENI kwenye makambi ya wanawake wa kilokole mponye ndoa zenu

    Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna. Ikiwepo siku moja,mbili. Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

    Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha. Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

    Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko? Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako...
  7. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

    Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

    Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote. Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Anti: unajua money penny, nimwambie kitu? Money penny: ndio Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui kukojoza wanawake zao Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona...
  11. JamiiForums Tanzania Mmeshawahi kuona kijiwe cha wanywa kahawa wanawake?

    Ebu jaribu kutofautisha picha mbili hapo chini kwenye kila angle. MAGUFULI akiwa Soko la Ferry, Dar es salaam SAMIA akiwa Soko la Wamachinga parking, Nzega, Tabora. BINAFSI: Nimeshangaa kijiwe cha wanywa kahawa wanawake, sijawai kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake. Pili utofauti niliouona...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  13. JamiiForums Tanzania Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

    Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini! Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf. Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la...
  14. JamiiForums Tanzania Friday quote

    "Forgetting is good for the brain: deleting unnecessary information helps the nervous system retain its plasticity."
  15. JamiiForums Tanzania Viherehere wanawake wanaojikomba sikilizeni hii

    https://www.facebook.com/reel/864002521844485?mibextid=9drbnH msiseme hamjaambiwa wakiolewa wengine maslay queens wasiochafua miili yao mnalia
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

    Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana. Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu. Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine. Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

    Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna wanawake wasio na dini?

    swali lenyewe hili hapa. Je, kuna wanawake wasio na dini? Kuna vitu nahitaji kujua vilivyopo baina ya mwanamke na mambo ya dini dini.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Wamachinga Wanawake Watatu wa Nzega waliandaliwa Meza yao, walikuwa Wanajiamini na hawajulikani sana hapo Sokoni Nzega?

    Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga? Actress wa Movie...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

    INTRODUCTON. Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo. Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza. MAPEPO. Hizi ni ROHO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…