wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wasabato wanakataza wanawake kufundisha ama kuwa wachungaji wakati wanatumia vitabu vya Hellen G White? Iweje nyama ikataliwe mchuzi unywe?

    Sababu ya kukataza. 1Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume (ibadani). Mwanamke anapaswa kukaa kimya. Wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu wanatumia mafundisho ya moja wa waanzilishi wa kanisa hilo Hellen...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume tunawaokoa wanawake kwa kuwaoa, Yafaa sisi ndio tupewe mahari

    Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti. Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa. Binti kuolewa anafaidika vingi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

    Za weekend? Hivi mwanaume timamu kabisa mke wako kagombana huko na wanawake wenzake halafu wewe unaenda kuingilia ugomvi na kuanza kusutana na wanawake? Kwanza mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kurushiana maneno na mtoto wa kike? Mpenzi wako akiudhiwa huko na marafiki zake wewe msaada unaoweza...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

    Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi 😀😀 JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

    Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Namshukuru Mungu kiukweli nimepata fursa ya kutembelea nchi kadhaa hapa Barani Africa ikiwemo Ethiopia, Rwanda, Kenya, Uganda, Southafrica, Morocco, Madagascar, Seychelles, Nigeria, Congo RDC, Zambia, Malawi, Mozambique, Burundi, Central Africa Republican...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mlisema wanawake wa aina hii wanapatikana wapi hapa nchini?

  9. JamiiForums Tanzania Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

    Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa.. Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama. Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku...
  10. JamiiForums Tanzania Sio wanawake tu, hata wanaume hupenda kusifiwa

    Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani utasikia"ah kawaida tu mbona hahh" yaani haipi uzito sana kwa wakati huo lakini amependezwa! Mwanamke...
  11. JamiiForums Tanzania UEFA yaipongeza Tanzania Kukuza Soka la Wanawake

    Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na wasichana katika ngazi mbalimbali za Elimu kwa kuanzia ngazi ya Elimu Msingi. Hayo yameeelezwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wamekuwa wahanga wa makanisa, msishangae kuona anagawa mali zote kwa mchungaji wake

    Ninao ushahidi wa ndoa kama nne zimekufa sababu ya hawa called dady my dady ma... Hawa ni pastors wanatumia udhaifu wa kina mama kuwaibia mali zao na wanapojua una hela basi mume ujipange yaani kilicho chako kifiche kama ni hati ficha mbali kwa ndugu zako Nimekaa nikawaza hawa wanakuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  14. JamiiForums Tanzania Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

    Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja. Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania 46% ya Wanawake wa Zanzibar ni Wanene Kupita Kiasi, Tanzania Bara ni 36%

    Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika mbalimbali pembezoni mwa barabara wakifanya mazoezi. Wapo wanaokwenda kwenye klabu za mazoezi, lengo likiwa ni kujiweka fiti na kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi hasa yasiyoambukiza ambayo yamekuwa tishio kubwa kwa sasa. Hata...
  17. JamiiForums Tanzania Upendo wa kweli kwa Wanawake umeondoka haupo tena

    Hili jambo nimelithibitisha kwa watu wengi walio katika mahusiano hasa yale yakuanza na NDOA kisha ndio waishi pamoja. Sisemi mahari ni nzuri au mbaya ila Mahari ni kipimo kikubwa sana kilichonifanya nije na huu uzi. Nimeuliza wanawake zaidi ya 10 swali 1 ambalo ni Je, Mpenzi wako akikosa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

    Habarini, Kama kawaida yangu, kuna siku nilipita mahali flani chimbo kupata huduma yetu pendwa, mdada classic, short time tsh elf 7, kufika chumbani nkamwambia alale kwa tumbo ili nikojoe haraka, akaomba nimwongezee buku, sikuwa vizuri mfukoni nkamwambia ntampa siku ingine. Baada ya siku...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wana wivu sana

    Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma. Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke. Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana. Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana. Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga wote jehovah awabariki sio kwa huyu bikra aisee nampenda sana

    Sikuwahi kuamini ipo kama nitaweza kukutana na bikra wa mwanamke wa kichaga ila mimi nimejonea laivu na mimi ndiyo nimeitoa aisee yaani sio poa poa kabisa demu wa kichaga ana mapenzi balaa asikuambie mtuu Baada ya kuvutiwa na huyu binti ambaye nimemkuta ana miaka 30 ila nimekuta hymen ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…