wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwahili wanawake kwa asilimia kubwa wanafanana

    Poleni wana jukwaa na mihangaiko ya kutafuta chochote kitu maisha yasonge.. Sina mengi sana ila nina swali kwa wanawake leo hii, hivi ni kitu gani huwasababisha mchelewe location???? Mnaweza kuahidiana mkutane saa 10, ila cha ajabu anaweza kuja saa 12. Ukimuuliza kwanini kachelewa kuja, hana...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4 Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi Unazani...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wanawake waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 ni wazuri zaidi ya miaka ya nyuma??

    Nimekutana na mtu akatoa hii hoja binafsi niliipinga lakini alitumia nguvu kubwa na mifano ya watu wetu wa karibu kushinikiza hoja yake, je ana hoja au apuuzwe??
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

    Mbowe: 1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani 2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa 3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele 4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti 5. Mahakama zinatuangusha 5. Ongeza Erythrocyte Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake kunjueni mioyo tu waume zenu tuwe na wake wengi

    Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama tumeoa midori ya ngono n.k Ukiachana na sex kama kazi ya kuingiza pesa wanawake shoo mnafanya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio faily maisga

    Abarini Wanawake eengi hasa apa kibonfo bongo kuanzia 25 nakuendelea,wameferi au WAMECHEZEA maisha Theyre desperate na mahusiao na nsoa,theyte desperwte nawnaume kwaujumla Wengi uringa sana ktk peak yaami umti wwmiaka 22 luja chini,ila wakifikisha 25na kuendelea,autpmatically soko lao...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini species nyingi za wanawake ni wafupi?

    Kwema wakuu Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi? Misinishambulie please
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Choo cha Wanawake Kivukoni Magogoni usalama ni mdogo wakati wa usiku pia hakuna privacy

    Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa mchana abiria wanapokuwa hapo wakisubiri usafiri, watu wanakaa hadi karibu na mlango wa kuingia...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza. Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
  10. JamiiForums Tanzania Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iunde Sera nzuri za kuwalinda Wanawake dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi

    Wanawake mara nyingi wanashikilia nafasi muhimu katika familia na jamii, hasa katika nchi zinazoendelea, ambako wanahusika na majukumu ya kutafuta chakula, maji, na nishati (kuni) Majukumu haya yanawafanya kuwa miongoni mwa walio hatarini zaidi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya kauli ya kuishi na wanawake kwa kutumia akili.

    Tulipo ambiwa tuishi nao kwa akili haikuwa na maana kwamba wana akili nyingi kutuzidi, maana yake ni kwamba wao wana kitu kinaitwa Emotionalism, wanatumia na kuongozwa na hisia, ni wazito kutafakari kabla ya kufanya maamuzi. Endapo na sisi tukiendekeza hisia na mihemko ( Emotionalism) basi...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

    Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

    Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
  16. JamiiForums Tanzania Kaka hawa ndio wanawake na uhitaji wao kurinagana na umri wao walionao

    MIAKA 18-25 Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree...
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress. Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sketi za penseli, vazi langu bora kwa wanawake

    Wanawake hoyeeeee, Wanawake juuu! Tupeni siri ya sketi za penseli jamani, yaani mimi huwa napenda sana mwanamke akivaa sketi ya penseli. Sijui kwanini. Kipindi hicho wakati nilipokuwa mdogo ndio naanza mapenzi na wifi yenu nilikuwa namwambia kila appointment yetu akija gheto basi awe amevaa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake hawajali wanaume wanavaa nini, wanaume kutwa kuwapangia wanawake muonekano wao, mnawashwa nini?

    Wakuu, Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu. Shida yenu ni nini kwani? Nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…