wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums kuna wanawake wenye roho mbaya kama huyu?

    Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana. Vijana wangu, sampuli za namna hii siyo nzuri kwa afya yako, zikimbie kila zinapojaribu kukukaribia.
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Bunda wamchukulia fomu ya kugombea Ubunge Ester Bulaya

  3. JamiiForums Tanzania Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

    Habari za mda huu wanaJf Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji) Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali) Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba 1. Wapole 2. Wanaakili za maisha 3. Wengi wao ni umri (25_35)...
  4. JamiiForums Tanzania Wosia wa babu kwa mjukuu wake juu ya wanawake

    Babu akiwa na mjukuu wake akamuusia yafutayo juu ya mwanamke/wanawake 1. Mwanamke yoyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako 2. Wanawake wote huonesha UPENDO wao wazi wazi isipokuwa wale waliotendwa kabla 3. Mwanaume kumuacha MWANAMKE anayempenda ni kama simba kuacha kula...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wawili au kuwa na watoto wa mama tofauti kwa dunia ya leo ni kujitafutia matatizo

    Wanaume wenzangu, dunia imeshabadilika. Leo ukiwa na watoto wa mama tofauti kwenye familia yako jua unatengeneza kaa la moto baadae na kuwa na wake wawili ndio kabisa kwa asilimia kubwa unakuwa unajitengenezea jehanamu yako mwenyewe. Nimeshuhudia familia nyingi sana zinavurugana mpaka kufikia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

    Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili. Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao. Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

    Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo. Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
  9. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanayotupunguzia points kwa wanawake

    1. Ukiwa mfupi halafu mweusi halafu una kitambi.kwa utafiti niliofanya nimegundua mademu hawawazimikii wanaume wafupi.yaani hisia zinakuwa ziko mbali 2. Ukiwa na watoto kuanzia wawili.kama ulimdanganya huna watoto basi akijua tu mapenzi yanapungua 3. Ukiwa huna hela afu unalilia uonewe...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni msimamizi wa Mwanamke

    1. Allah alivyotuweka wazi kuwa WANAUME NI WASIMAMIZI WA WANAWAKE. Si tu aliwapa ukichwa tu mjimwambafy. Ni kwamba mtakuja kuulizwa juu ya usimamizi wenu. MAANA YAKE MWANAMKE AKIYUMBA TU UJUE MWAUME ULIYUMBA KWENYE USIMAMIZI WAKO KABLA YA KUYUMBA MWANAMKE. Ukiona mwanamke ameharibikiwa ujue...
  11. JamiiForums Tanzania Confidence stratergies kwa wanawake wanaotaka kugombea ubunge/urais kwa vyama vya upinzani

    Hello JF, i guess awamu hii tumeshuhudia wanasiasa wengi wakihamia CCM, Hii ime create atmosphere fulani ya confusion,.. i mean.. Kwa wanasiasa wa upinzani,..... wa zamani kutokujua hatma yao, na wanasiasa wapya, kuwa na uoga wa ku contest against CCM, Sasa nimeandika hii topic...
  12. JamiiForums Tanzania Huenda Wanawake wengi wangekuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu kama huyu Dada, basi Ndoa zingedumu na Wanaume tungeacha hata Kuwasaliti

    " Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki. globalpublishers Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kusikia wanawake wasiokua na uke wala tumbo la uzazi?

    Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

    Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa? Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu? Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna shahawa za wanaume zinazokondesha na nyingine kunenepesha wanawake?

    Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya. Je, kuna ukweli hapo?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasio na sura nzuri sana ni wastaarabu sana

    Si ajabu ndio wanaoongoza kwa kuolewa. Hakuna mwanaume anaejielewa amuoe mwanamke wa hovyo hovyo kisa ana sura nzuri. Nyie wenye sura nzuri msipojirekebisha mtaishia kudanga tu. Samahani nilisahau kusalimia.
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka historia: Mwaka 2015 CHADEMA iliingiza bungeni 23% ya wabunge wanawake wa kuchaguliwa Majimboni

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250. Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo. CHADEMA hongereni...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu wa Tabora ana nini?

    Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki. Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na wazazi wake kisa ni mke wake waliyezaa nae watoto wawili. Tangu ahamishiwe kituo cha kazi Tabora kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo ------ Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…