wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo linawasumbua wanawake baadhi, wanapata hedhi isiyokoma

    Kwanza kabisa naomba niseme sijaripoti kwenye mamlaka zinazohusika sababu hawatalichukulia kwa uzito ama watachelewa kupata data tofauti na nikipost kwenye social media platforms kama hii data zitapatikana kwa urahisi zaidi na wahusika watalichukulia kwa uzito. Kuanzia mwezi wa nne mwishoni...
  2. JamiiForums Tanzania Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

    Kumtafuna mdogo wa mkeo ni rahisi kuliko kumeza mate. Kuna visa vingi sana vilivyowatokea watu. Mara nyingi sana huwa tunazungumza na mke wangu changamoto za ndoa ili kujilinda mapema afu badae tukaanza kulaumiana. Kosa kubwa kabisa walaumiwe Wanawake wenyewe kwa sababu hizi 1. Akija ndugu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na kulisaidia taifa letu, kusaidia nchi yetu, kusaidia serikali yetu na kusaidia viongozi wetu waweze...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake hasa wa miaka hii ya utandawazi wakifanikiwa kama wapo kwenye uchumba au ndoa lazima iteteleke (asilimia kubwa sio wote)ipo

    Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
  5. JamiiForums Tanzania Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

    Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet. Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

    Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo. Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume? Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake

    Eid mubarak wana JF! Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake mwenyewe. Siku ya siku mwanaume huyo vuuup akaja kwako ndo mpo nae sebuleni sasa wewe nayeye! Awali...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni muhimu mkatambua hili

    Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:- 1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe. 2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda simu amuelekeze. 3.Mwanamke ambae unamuelekeza jinsi ya kufika geto mwenyewe. Uzi tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Bado kuna Wanawake wasiopenda hela

    Aisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu (mwaka na zaidi) hawakuwahi kabisa kuniomba hela na hata pale walipoomba ni kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya ‘unsafe sex’ wanawake wengi hawajutii

    Inaonekana wanawake hata ukienda nap kavukavu wenyewe wanakuwa na uhakika hawajali cha mimba Wala UKIMWI. Ukimuhitaji kavu unamnasa na ukitaka condom hawapendelei ni kama vile watatuua. Tunaendelea kuona wanaume wakishafanya mapenzi kavu tu maswali yafuatayo ni je nimeambukizwa ngoma moja kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa. Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi...
  13. JamiiForums Tanzania Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina. Soma kwa makini kuna fundisho hapa Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu. Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wanavyowafanya Wanaume kuwa dhaifu

    Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

    Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa. Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule. Hata ukimuona unamzarau na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

    Hello WanaJf Bibi yangu Rukia kuna siku aliniuliza Mjukuu wangu unajua kwa nini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi? Mimi: Hapana Bibi Bibi: Hii ndiyo sababu mjukuu wangu "Kuonja onja umeshashiba". Mimi: Inamaana gani bibi? Bibi: Nikimaanisha kwamba mambo yanayopatikana kwenye ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa nashindwa kabisa 'Kuwaelewa' Dada zetu ( Wanawake ) hasa wa Kitanzania ( Kiswahili )

    Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja. Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…