wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni ujinga. Kuvaa mipira hii ya makalio kuna madhara makubwa sana. Hizo kitu zinataka hewa

    Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana. Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
  2. JamiiForums Tanzania Jichunguze; inawezekana mahusiano uliyonayo yanatokana na nguvu ya mzizi

    Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika. Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaotumia dawa za kulevya waongezeka maradufu

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume. Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake sijui huwa wanatakaga nini

    Habari wakuu. Naimani wote ni wazima niende moja kwa moja kwenye Mada. Kuna manzi mmoja hapa nashindwa kumuelewa kabsa anataka nini. Iko hivi huyu manzi kuna kipindi mwezi wa 3 mwaka huu nilipata safari ya kikazi ofisini kwetu nilipelekwa mkoaX sasa baada ya kuwasili huko kumbe kuna wafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

    Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika. Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini? Mmekuwa wabishi mnakoromena na waume zenu kisa mnadai sisi na nyie ni sawa hakuna kitu kama hicho...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

    Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake. Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake msaidieni mwenzenu

  11. JamiiForums Tanzania Ukombozi wa fikra; tatizo linalowatesa wanawake wengi

    Salaam wakuu, Kwanza nitoe angalizo kuwa mada yangu hailengi kuwaondolea heshima wanawake kwani umuhimu wao kwenye jamii zetu umetukuka. Nimeona niwashirikishe kisa kufupi Cha mwanamke huyu aliyekataa kuolewa na rafiki yangu kwa kuhofia kukosa misaada kwa mchepuko wake. Unaweza kushangaa...
  12. JamiiForums Tanzania Sensa ya 2012, Wanaume walikuwa 21,869,990 na Wanawake walikuwa 23,058,933. Tutazame taarifa ya UN robo ya kwanza 2021

    Wakuu, sensa ya 2012 ilikuwa na wanawake 1,188,943 zaidi ya wanaume. Tarehe 23 August ni siku ya sensa. Taarifa ya UN kuhusu idadi ya watu duniani robo ya kwanza 2021 hii hapa: Idadi ya watu duniani ni bilioni 7.8 Wanawake bilioni 5.6 Wanaume bilioni 2.2 Kati ya wanaume hao bilioni 2.2 Bilioni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake kweli wanapenda pesa ila muonekano wako pia ni muhimu

    Habar wakui Kila uzi humu ukimrefer demu kumzingua mtu humu pesa inatajwa sana lkn pia kuna hiki kitu wengi pia wqnakisahau muonekano wa nje. Ushawah kuta mtu ana mapesa kibao ila anagongewa km kawaida kelele huwa nying wanawake hawaeleweki ndio kauli mbiu sasa soma hhapa. Wanawake ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wanawake ambao walikuwa tayari kufa kwa ajili ya watoto wao?

    Wakuu habarini za majukumu? Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi nililokuwa ninalisubiria kuchelewa kufika na hivyo nikajikuta nazoeana na baadhi ya abiria niliokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Full moon inawaathiri wanawake

    Huu mwezi una nguvu kubwa sana katika maisha ya viumbe hapa duniani. Na hasa unapokuwa full/ mzima kama ulivyo sasa mpaka binadamu hushawishiwa na nguvu zake. Mwanamke hakika huu mwezi ikiwa full unamvurugaa sanaa. Katika utafiti wangu mdogo siku mbili hizi wanawake naokutana nao usiku...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake; eleweni kuwa hakuna mahusiano bila Maslahi

    WANAWAKE ELEWENI; HAKUNA URAFIKI BAINA YA MWANAUME NA MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel. Kwanza kabisa, hakunaga Urafiki baina ya mwanamke na Mwanaume hilo kila mtu mwenye akili na hekima analijua, hakunaga kitu Kama hicho. Kidini, Uislam Kwa kuzingatia torati unatanabaisha kuwa hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume. Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana...
  18. JamiiForums Tanzania Kubinuka kwa makalio ya wanawake kwenye bodaboda

    Wasalaam Wakuu, Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama Hii imekuwa ni kama fashion kwa kila mwanamke,hawezi kukaa kwa kunyooka bila sawasawa ila mpaka abinue kiuno chake na kalio lake...
  19. JamiiForums Tanzania Huwa mnafikiri nini wanawake kisha kuingia kwenye mahusiano?

    Mapenzi hayanitesi sana siku hizi, lakini kiukweli warembo wanazidi kunikataa na sielewi ni kwanini. Huwa najiuliza wasichana huwa mnawaza nini kabla ya kumkubali Mwanaume, Tuweke mbali Pesa, kipi huwa mnajiuliza kabla ya kumkubali mwanaume. Baadhi ya Maswali yenu nimeweza kuchambua.. lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena afungua semina ya Wanawake, asisitiza washirikishwe katika amani na usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua Semina kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women Peace and Security Agenda) iliyofanyika tarehe 07 Juni, 2022 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Akihutubia washiriki wa Semina hiyo akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…