Wasalaam wana JF
Mwanadamu amepewa akili ili imsaidie kuhoji na kuboresha maisha yake. Ikiwa kama utaruhusu akili yako ifanye kazi, bila kutingwa na influeence nyingine, kama mapokeo, mazoea na sheria basi ni vyema tuhoji kwanini tuwahudumie wanawake?
Kwa kuanza tafakarii hii lazima tujue...