wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti wabaini wanawake wenye umri mkubwa wa zaidi ya Miaka 40 ndio wanaongoza kuzaa kuliko Mabinti. Nini Sababu?

    My Take Inawezekana Hawa mabinti waasaka maisha au wanakula ujanja kwanza,wakishakuwa mashangazi ndio wanazaa. ====== Why do you think more women are choosing to have children later in life? For the first time in U.S. history, women over 40 are having more babies than teenagers. The...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Wanawake Mkizama Penzini Akili Huwa Mnaziweka Wapi?

    Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake: Nifanye nini ili uweze kukubali kuwa mpenzi wangu

    Hello jf members Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

    Wanawake wenye makucha marefu bandia vidoleni kwenye mikono huwa wanafanyaje mambo mbalimbali kama kupika, usafi, kufua, kutawaza, mapenzi n.k ? Huwa sio mateso na bugdha?
  6. V

    JamiiForums Tanzania SWALI: Kwanini wanawake na waislamu wanakadiriwa kuajiriwa zaidi na Utumishi(PSRS)?

    Habari,..swali langu linaendelea kwa kuangalia takwimu za ajira za ivi karibuni (recent placements) za sekretarieti ya ajira. Kwa majina ya walioitwa kazini hasa uwalimu wa masomo ya Kiswahili,Kingereza,Historia (hasa Kiswahili)ambayo ndiyo nimeifatilia kwa sehemu kubwa inaonekana kundi la...
  7. JamiiForums Tanzania ATTENTION kwa wanawake ndio SEX kama ilivyo kwa wanaume

    Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
  8. JamiiForums Tanzania Mpaka mwakani mwezi wa sita nisipooa, nitawajaza sana mimba

    Nimechoka wakuu Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani kadri mda unavyoenda naona...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu ya kupenda wanawake wakubwa ni hii

    They are soo emotional mature Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana They're so romantic, (sensual) Wanahisi zaidi in terms of intimacy, na kwa kufanya hivyo humplease...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kijiji cha Magingo, walalamika kubakwa na vijana wakienda mashambani

    Wanawake wa kijiji cha Magingo, kata ya Mkongotema wilayani Madaba mkoani Ruvuma, wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa kutokana na kukumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono vinavyofanywa na baadhi ya wanaume katika maeneo ya mashambani. Wanawake hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za...
  11. JamiiForums Tanzania Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

    Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa. Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda wanaume wahuni; poshy queen

    Mrembo kutoka tasnia ya bongo land, poshy amedai Moja ya kitu wanawake wanapenda ni ile uwe na mwanaume muhuni kidogo tu kapanda abembelezi ajilizi lizi, yani hood boys. Ila msafi, sio kunuka bangi pombe, ule usela wa kizamani.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani za wanawake kutoa namba kwa wanaume kisha kuingia mitini (ku-ghost)?

    Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake Kiasili Wana "Allergy" na Wanaume Wafupi? Huu Ni Mtazamo Wangu Tu

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi? Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wavaa ushungi huwa wanasuka au kuvaa mawigi?

    Wanawake wanaovaa ushungi/ hijabu au vilemba muda wote huwa wanasuka nywele au kuvaa mawigi?
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawaokoa Wanawake 48 waliodaiwa kutumikishwa kwenye biashara ya ngono

    Maafisa wa upelelezi wamewaokoa wanawake 48 katika operesheni mbili zilizofanyika Ongata Rongai na Kiserian, Kaunti ya Kajiado, kufuatia taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono na utengenezaji wa maudhui ya ngono kwa biashara. Katika operesheni ya kwanza iliyofanyika...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa faida ya Yanga princes twende na Prisca Kishamba, atavutia wanawake wengi

    Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye uongozi wa Yanga. Wagombea wote ni wazuri sana lakini Kishamba anaweza kuongeza idadi ya wanawe kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake tunapenda hivi...

    Wanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo. Kuhusu kupendwa tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan uvumilivu wakati wa shida, na upendo wa kweli huondoa hofu na tunakuwa huru zaidi Na mwanamke aliye...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake sasa muda wowote anakubadilikia.

    Hiki kiumbe usikipe asilimia mia moja kuwa anakupenda wewe tu japo siyo wote. Wamejaa matamanio ya papo kwa papo, analiwa popote, endapo kidume kitamvutia kwa muda mfupi tu. Demu unaweza kumuhumia mahitaji yake yote kwa kipindi kirefu sana, lakini siku moja kwenye birthday yake, mwamba mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…