wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  2. Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

    Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe? Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
  3. Siri na mustakabali wa maisha ya sasa ya wanasiasa na wasanii duniani

    SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
  4. Ushauri kwa Askofu Gwajima, John Heche na wanasiasa wengine

    HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA. 1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu...
  5. R

    Vijana wasiokua na ajira, wakawagwajimanize hao wanasiasa wanaoona kama wao ndio wana hatimiliki ya kuiongoza nchi

    Habari za muda huu wanajamvi. Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa hao wanaowaambia wajitafutie ajira Huduma za afya ni mbovu. Miundombinu hairidhishi na mambo mengine...
  6. Forbes Billionaires List ijumuishe WANASIASA wetu

    Wanasiasa wanachota Mabilioni ambazo ni Kodi za walalahoi (Mazombi) bila huruma. Wanaanzisha biashara kubwa kubwa nchini na ng'ambo. Kwann wasiwepo Forbes list of Billionaires ili tujivunie vya kwetu?
  7. Nielemisheni jambo wanasiasa!

    Hivi vyama vingine ukiachana na CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo...yaani hivi vyama huwa vinaonekana vipo kwenye karatasi ya kura tu...na hata sidhani hata kampeni kama vinapigaga...sidhani kama vina ofisi zake...sidhani kama ina mikutano yao miguu... Lakini naona kama msajili anavitambua kuwa...
  8. Yoyote yule, awe Kiongozi wa Serikali, au Dini, Wanasiasa , Wanaharakati anayeshindwa Kuukemea Utekaji, na Mauaji huyo Apigwe vita

    Hata itokee anahubiri vipi Amani, hata itokee anajua Kuongea na kuvutia, Hata itokee anatoa Misaada katika Jamii, IKIWA kinywa chake ni kizito kukemea UTEKAJI NA MAUJI. Huyo ahesabiwe kama Adui wa TAIFA hili.
  9. Ukitoa Askofu Gwajima ni wanasiasa au watu wapi maarufu hawajabadilika kimitazamo tangu Hayati Magufuli mpaka sasa ?

    Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha . Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo . https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
  10. PreGE2025 Wanasiasa wanafiki utekaji na mauaji yalipotamalaki walinyamaza

    Wana siasa uchwara walinyamaza kipindi mauaji na utekaji ukipamba moto. Walinyamaza kwakuwa waliotekwa hawakuwa ndugu zao,hawakuwa na sababu ya kuwasemea pengine waliona waliotekwa au kupoteza maisha ni vikaragosi tu. Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama...
  11. H

    Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  12. J

    Dini zimetutengenezea wananchi wajinga na wanasiasa majambazi. Ambao wamekuwa watawala wa ovyo kupita washenzi

    Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji. Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho nimeonyeshwa na mababu zangu walio tangulia Aridhini. Nimekaa nikaongea nao nikiwa peke yangu . Maongezi...
  13. K

    Afadhali simba kafungwa ili tuepukane na kelele za wanasiasa

    Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
  14. B

    Bashe atangaza kuwaweka ndani Wanasiasa wanaopinga Bei ya Pamba

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
  15. K

    Je wanasiasa serikalini ni vilaza kuliko zamani?

    Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella , warioba, salim, Msuya, Nyalali...... hata kwenye majeshi Mahundi. Je tunawatu bado wenye vipaji...
  16. Nina iangalia SA, kwa jicho la huruma sana, wakizifuata saundi za wanasiasa uchwara, watakiona!

    Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo ujazia pengo la 20%,wanatokea wanasiasa uchwara jamii ya kina Heche, wanawa propergate, wazungu...
  17. Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  18. Siasa za nchi yetu pamoja na wanasiasa wetu wenye tamaa

    Habari jamii Africa. Mmmmh. Poleni wananchi wa Tanzania, Poleni raia wa Tanzania. Lakini poleni zaidi wapenda Mabadiliko wa Tanzania. Mimi ni mmoja wa wapenda Mabadiliko,ambaye sipo upande wowote wa chama,japo kazi zangu naweza jikuta natekeleza ilani ya CCM ila nachojua Mimi nawajibika...
  19. S

    PreGE2025 Aliebuni mkakati wa kununua wanasiasa na wanachama wachache kuihujumu CHADEMA, atakuwa na faili Mrembe na atakuwa bado anaendelea na matibabu

    Mtu mwenye akili timamu, hawezi fanya hiki kinachoendelea kwa lengo eti la kuihujumu CHADEMA akiamini CHADEMA itakufa unless ni matokeo ya kuishiwa mbinu na kukata tamaa. Yaani uhonge wanasiasa na wanachama wa CHADEMA kwa makumi mikoani halafu uamini hiyo operation itafanikiwa kuidhoofisha...
  20. Usipojijali na kujilinda mwenyewe hakuna wakufanya hivyo kwenye vyama vya Siasa. Wanasiasa hujali maslahi yao na sio yako

    Hamjambo Wore! Nimeona huko mitandaoni watu wakiwalalamikia G55 kukimbia CHADEMA kutokana na maslahi yao ya kisiasa na ulaji kuguswa. Watu huwalaumu wakisema, inamaana wamesahau Damu na roho za wanachadema wenzao waliouawa, kutekwa na kufanywa vilema? Wamesahau? Inamaana hawakumbuki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…