wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Badala wanasiasa wawaze kuongeza miundombinu ya Afya na elimu wanawaza kugawana majimbo; shame

    Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa. Alichofanya Gambo na Tulia nikuonyesha kile wanachofikia walafi WA madaraka kwenye majimbo yenye...
  2. Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

    Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA. Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
  3. Tutaendelea kudanganywa na hawa wanasiasa

    Baada ya kusikiliza hotuba ya rais siku ya wafanyakazi, niligundua tumefanywa wajinga tena kwa kuahidiwa kitu ambacho hakipo. Hivi hatuwezagi kuandaa maandamano ya kupinga uongo wa wanasiasa, hatuwezagi kuwaondoa ama kuwakataa wanasiasa waongo. Huu ni ujinga mkubwa. Je tutaendelea kuwa wajinga...
  4. J

    "Meya" Boni Jacob: "Polisi wafuate sheria na katiba, sio kauli za watawala au wanasiasa."

    ..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa. ..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
  5. Kama viongozi wa dini ndio Hawa je Dunia tuiache mikononi mwa wanasiasa?

    Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi...
  6. R

    Mwaka huu kufuturisha kumetumika kisiasa kuliko kiimani; matajiri na wanasiasa wamejifanya ifta kama kongamano; tupate mwongozo next time

    Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani? Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
  7. R

    Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  8. Hii nchi wanasiasa wanatuchezea, nimemua kuishi kivyangu na lolote litokeee wala sijali

    MSHAHARA WA WABUNGE HAUENDANI NA WANACHOKIFANYA BUNGENI. Na Thadei Ole Mushi. Ukiangalia Mshahara wa Mbunge na anachokifanya Bungeni vinatia Hasira Sometimes… Twende Sawa Rais Magufuli ndiye Rais aliyevunja Rekodi ya wabunge kuweka maazimio ya kumpongeza Bungeni. Maazimio ya mwisho mwisho...
  9. Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

    Mwanancha namba moja. 1. Rais Samia Suluhu Hassan 2. J.M Kikwete. 3. Edward N. Lowasa 4. Simbachawene. 5. Mizengo Kayanza Pinda. 6. Benard Membe. 7. Hussein Mwinyi. 8. Jokate Mwegero. 9. Masauni. 10. Dkt. Philip Mpango. Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda...
  10. T

    Wanasiasa tupunguze vijembe na kejeli kwa wasio kuwepo maana hakuna anayeijua kesho

    Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa manufaa yao wenyewe na sera zao sema tu chuki na visasi vinalitesa Taifa. Mtu anadiriki kusema...
  11. Wanasiasa wanataka kutuchonganisha na Hayati Magufuli

    Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri. Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo...
  12. Wanasiasa mpo wapi? Watu wanauawa sana. Mmenyamaza kabisa hamyasikii na kuyaona haya?

    Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani. Kuna watu kadhaa wamepotea na kuuawa lakini sisikii Waziri, Naibu , Wabunge wala wapinzani wakikemea...
  13. Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  14. Nchi inabidi kuongozwa na mifumo thabiti na imara na si matamko ya wanasiasa. Wasomi tulisaidie Taifa

    Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi. Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi. Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi. Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
  15. Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

    Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa. Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress. Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu. Soma kitu kwa utashi wako...
  16. S

    Wanasiasa na wanaharakati hamasisheni wananchi waweze kujilimia chakula la sivyo hali itakuwa mbaya sana baadaye

    Nasema na wanasiasa na wanaojiita wanaharakati tuna jambo kubwa sana kwa wakati huu kama nchi kukosekana kwa mvua ya kutosha ambayo tunategemea kwenye kilimo ukiwemo na umeme Hoja yangu ni hii mtumie majukwaa kuhamasisha wananchi kufanya kazi kwa bidii na hata kwa hizi mvua chache hamasisheni...
  17. Ni kweli Bodaboda haina madhara ama ni hofu na woga wa wanasiasa unaowafanya wagombane?

    Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake? Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama. Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi...
  18. Siasa za kufurahishana Wanasiasa na kuwasahau wananchi

    Salam wakuu, Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku wakisahau wananchi wanagongwa 800k wanapounganisha umeme, wanasahau wananchi wengi wanataabika kwa huduma...
  19. Kunani Kagera? Kuna mvutano kati ya Mkuu wa Mkoa Chalamila na wanasiasa wa Kagera? Msikilize Mwijage!

    Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa. Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa...
  20. Bodaboda na Walimu wote ni madaraja ya wanasiasa kufikia malengo yao

    Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani. Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema. Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…