wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, hakuna makosa mengine wanaCHADEMA wanafanya tofauti na makosa ya ugaidi , uhaini na uchochezi?

    Wakuuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Familia pamoja na nchi kwa ujumla. Wanasheria wa serikali huwa hawaoni makosa mengine tofauti na hayo ya uchochezi, ugaidi na uhaini? Kimsingi kumetokea mlipuko wa Case zinazohusu makosa haya ya uhaini, ugaidi na uchochezi ambayo hasa yanawahusu CHADEMA...
  2. Wanagombana Wanasiasa, wanakufa raia, wanaridhiana wanasiasa

    WANANCHI ni mtaji wa wanasiasa. Yupo mtu atahoji, je, wanasiasa siyo wananchi? Zaidi ya karne moja iliyopita, mwanasosholojia na mbobezi wa sayansi ya jamii wa Ujerumani, Max Weber, alipata kusema kuwa mwanasiasa siyo mwananchi wa kawaida. Weber alisema: “A politician lives for politics, or...
  3. O

    Askofu Mkuu Muheria Aonya Makatekista Wanaoruhusu Wanasiasa Kuhutubia Kanisani

    Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Nyeri, Anthony Muheria, amewaonya makatekista dhidi ya kuwaruhusu wanasiasa kutumia nafasi za ibada kuhutubia waumini. Askofu huyo amesema makatekista watakaowaruhusu wanasiasa kuzungumza kanisani watakabiliwa na hatua za kinidhamu, ikiwemo kufutwa...
  4. M

    sio rahisi kuwekeza sehemu ambayo inategemea matamko ya wanasiasa, bahasha za kaki na vimemo. Rwanda itakuwa biggest investment centre kufikia 2040.

    Nidhamu ambayo Rwanda inajijengea kwa kushika nafasi ya kwanza barani Afrika na kuwa miongoni mwa nchi 10 bora duniani zenye kiwango kidogo cha rushwa ni taswira endelevu (ongoing brand) itakayowanufaisha sana siku za usoni. Sambamba na hilo, mpango wao wa muda mrefu wa kuanza ujenzi wa mitambo...
  5. M

    Hufanyi biashara kama hakuna washindani, una Priveledge ! hii ndio sababu wanasiasa na watumishi wengi wakistaafu au kufukuzwa biashara zinawashinda

    It's not business if competition is not allowed. Kama biashara yako haiwezi kuendelea bila uwepo wa madaraka yako, basi hukuwahi kujenga biashara ya kweli. Ulikuwa umejipendelea tu (priveledge) Watumishi wengi wakiwa serikalini hujijengea mazingira ya biashara yasiyo na ushindani. Huanzisha...
  6. O

    Tungekuwa na wanasiasa wanaotuliza akili basi mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE tungeyatumia kupata mabadiliko (Reforms)

    Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk. Lakini kwa...
  7. K

    Mahakama ijitahidi kuepuka mipango miovu ya wanasiasa

    Kuna uwezekano mkubwa kwamba vyombo vya dola vinapewa maelekezo na viongozi wa kisiasa ili kuwafanya waendelee kutawala kama ilivyokuwa ikitamkwa kwa vipindi tofauti na viongozi waliopo madarakani. Katika nchi ambazo ni za kidemokrasia taasisi yenye nguvu inayopaswa kuheshimika na pia kuogopwa...
  8. S

    Nchimbi awe somo kwa wanasiasa?!

    Ukitendewa umafia sio lazima ulalamike au kutapatapa kwenye vyombo vya habari Aksante Emmanuel John Nchimbi
  9. Wanasiasa wa vyama vyote wapo kimaslahi binafsi

    Tusidanganyane et oh sjui Nan akiwa rais mambo yatabadilika mara oh upinzan ukichukua nchi mambo yatabadilika ,mambo kubadilika hii n asili tu ya maumbile ya kidunia lakin ukwel n kwamba hata chama gan kiingie asili ya mwanadamu ipo pale pale atadhulumu,ataua,atateka hata awe Nan? Hata Hawa...
  10. Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani walishawahi kufungwa

    Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani, wengi wao walishawahi kufungwa. Achana na Nelson Mandela au Jomo Kenyatta, usifikirie kabisa kujikumbusha kuhusu Kamuzu Banda, hivi unajua nini kuhusu kufungwa kwa Kwame Nkrumah? Unajua kuwa Robert Mugabe aliwahi kufungwa? Tafuta taarifa za Olusegun...
  11. Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  12. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  13. D

    Je, wanasiasa wanasauti kubwa kuliko wananchi ambao ni wenye nchi?

    Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? . Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake? Pia kuna wananchi na...
  14. Stephen Wasira: Wanaharakati na Wanasiasa tushindane kwa hoja badala ya matusi na uchochezi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka wanaharakati na wanasiasa kujenga mijadala ya kisiasa kwa hoja badala ya matusi na uchochezi, akisisitiza kuwa CCM haina uhasama na chama chochote cha siasa. Wasira amesema chama hicho hakikatai kukosolewa...
  15. M

    WIMBO WA KARIBU LEMA CCM

    [INTRO – MC] Aaaah! Oyaa! Oyaa! Habari imefika mjini! Kutoka Arusha mpaka Dar! Nani huyo? Lema! Ameenda wapi? CCM! Heeeee! Twende kazi! [BETI YA KWANZA] Lema eeh! Lema eeh! Umefika wapi? CCM! Lema eeh! Lema eeh! Habari imeenea mjini! [KIITIKIO – CHORUS] Lema kaingia, kaingia, kaingia! CCM...
  16. Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  17. Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  18. Wanasiasa wana roho ngumu kuliko majambazi wa zamani

    Mdau mmoja ameeleza jinsi baadhi ya wanasiasa wa sasa wanavyotanguliza maslahi yao binafsi badala ya yale ya wananchi, akiwafananisha na majambazi. Hata hivyo, amesema tofauti ni kwamba baadhi ya wanasiasa wamefikia hatua ya kutumia nguvu hadi kusababisha vifo katika harakati zao za kulinda...
  19. Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

    "Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi. Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea...
  20. Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

    Issue ya Elnino imeonesha kuwa wanasiasa ni Genius
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…