wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
  2. Vodacom Tanzania yagusa Maisha ya Wanafunzi Ihowanja wilayani Malinyi kwa kuboresha Mazingira ya Usomaji

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati 30 yaliyokabidhiwa katika Shule ya Msingi Ihowanja, Malinyi mkoani Morogoro, kupitia mpango wa...
  3. Hii ndio sababu ya walimu kupiga wanafunzi mpaka kuwaua

    Frustration, Frustration, Frustration. Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa, Diwani, MEK na watumishi wote wa halmashauri wanaweza kumpiga kofi mwalimu. Imagine Mwl anafundisha...
  4. D

    DAWASA yawaandaa wanafunzi kulinda miundombinu ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa elimu ya umuhimu wa maji na utunzaji miundombinu ya maji kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira shule ya sekondari Chalinze Wilaya ya bagamoyo Mkoani Pwani Lengo la elimu hii ilikuwa ni kuwaelemisha wanafunzi umuhimu wa maji...
  5. Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  6. Shule za serikali bado zinatuma wanafunzi kuni za kupikia!

    Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni. Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na ujinga wa kututuma mbolea na maua bila kujali kama 99% ya wanafunzi hawakuwa wafugaji wala wenye bustani...
  7. Hivi wanafunzi mbona hawana exemption kwenye vitu kama nchi nyingine?

    Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo? Yaan Mwanafunzi anapanga karibu na danguro ? Hostel za magufuli zimeokoa maisha ya wanafunzi wengi kuongeza idadi ya...
  8. B

    Saad Mtambule : Wanafunzi mkawaambie wazazi juu uhamiaji haramu Kinondoni

    07 Agosti 2026 Kinondoni, Dar es Salaam Tanzania SAAD MTABULE : WANAFUNZI MKAWAAMBIE WAZAZI JUU UHAMIAJI HARAMU KINONDONI https://m.youtube.com/watch?v=d7oFRuKVK-w Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amewataka wanafunz i kutokaa kimya na KUWAFICHUA wahamiaji haramu Ofisi ya Uhamiaji...
  9. S

    Nawatafuta wanafunzi wa Amanah Islamic high school Mtwara

    Habari za mchana wakuu nina shida na wanafunzi waliomaliza SHULE YA SEKONDARI AMANA ISLAMIC iliyopo MTWARA MJINI nawatafuta wanafunzi tuliohitimu kidato cha sita mwaka 2017 Nawaomba kama wapo humu JANUARY CHIUMBI JAMILA LUKANGA SHAIBU HAMIS AMID KARIMU 0791823730 0623789944
  10. A

    KERO Wanafunzi wa Uandishi tunalazimika kulika Ithibati mara mbili kwa JAB. Tunaomba utaratibu huu uangaliwe

    Habari, Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa ithibati kwa wanafunzi wanaohitimu shahada ya Mass Communication mwaka huu. Kwa sasa, hatuwezi kufanya kazi bila kuwa na ithibati kutoka JAB. Hata hivyo, ithibati ya awali inayotolewa ina muda wa miezi mitatu pekee, ikilenga...
  11. A

    KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  12. O

    Mwalimu wa Naivasha afariki kwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kupoteza Sh40,000 za safari ya wanafunzi kwenye kamari ya michezo

    Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
  13. Maandamano ya wanafunzi India 🇮🇳, Polisi asimamishwa kazi kwa kufyatua risasi hewani.

    https://youtube.com/shorts/jof90QKuFB0?si=hclAlCCqaPicJ6CD
  14. R

    KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  15. Martin Kiama na Kipindi Cha Radio Cha Wanafunzi

    KIPINDI CHA RADIO KWA WANAFUNZI: VIONGOZI WA AFRIKA Kipindi hiki akitangaza Mkurugenzi mwenyewe wa TBC Martin Kiama. Niko Majengo Middle School, Moshi mwaka wa 1963. Kipindi kinafunguliwa na nyimbo hiyo hapo chini. Kipindi hiki kulikuwa cha historia. Napenda historia na napenda hiyo...
  16. A

    KERO Maisha ya wanafunzi shule ya Sekondari Lyamungo hatarini, shule haitoi huduma ya chakula cha jioni

    Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi katika baadhi ya shule ili wazazi wawe na uhuru wa kuchagua wapi kijana wao patamfaa kupata taaluma...
  17. A

    KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kwa matokeo ya wanafunzi waliyozuiliwa kufanya Test 1 katika Chuo cha MUST

    Tunaomba kufahamu hatima ya wanafunzi waliozuiliwa kufanya Test 1 katika Chuo cha MUST, ambapo mfumo wa matokeo umeonyesha alama za ABSC. Kwa mujibu wa taarifa kutoka chuoni, wanafunzi hao watafanya mtihani huo kipindi cha SUPP mwezi Oktoba. Changamoto kubwa ipo kwa wanafunzi wa Diploma mwaka...
  18. M

    Ai yawa msaada kwa wanafunzi wenye usikivu hafifu wanaopata shida kujifunza darasani, group discussions, videos, voice notes, n.k.

    Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu. Wanafunzi...
  19. A

    DOKEZO DIT: Usalama wa wanafunzi wanaovuka barabara kwenda madarasa ya nnje ya chuo ni mdogo

    Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
  20. Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…