wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Wanafunzi wa PostGraduate UDOM tulitoa hela za extension na sasa wameweka grace period, ila hawataki kurudisha fedha

    Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo. Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
  2. Bwanku awaeleza Wanafunzi jinsi Serikali ya Rais Samia ilivyoweka mazingira mazuri ya wao kusoma kwa kufuta Ada na kuongeza mikopo ya Elimu ya juu.

    📌Asisitiza amani kwa kuwaeleza wananchi ya Congo, Burundi ili wakatae wanaohamasisha vurugu. 📌Awaeleza wananchi miradi mikubwa ya maendeleo kwenye maeneo yao. Ujenzi Chuo Kikuu UDSM Tawi la Bukoba, Ujenzi Soko la ndizi la Kisasa, Mradi mkubwa wa maji Kemondo Bilioni 15.8, Upanuzi wa bandari...
  3. A

    HOJA Kuna uhusiano gani kati ya uanachama wa chama cha siasa na kugombea uongozi wa Serikali ya Wanafunzi?

    Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania. Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
  4. RESOLVED Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums, baada ya msaada changamoto yetu imetatuliwa

    Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums kwa kutupa nafasi ya kuwasilisha changamoto iliyokuwa inawakabili wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza, kuhusu matokeo yetu kutopandishwa kwenye mfumo wa NACTVET. Suala hili lilikuwa muhimu sana kwetu, kwani kutokuwepo...
  5. A

    KERO Shule ya Msingi kuwapeleka Watoto wa la 5 na 6 katika shule ya Sekondari ni sawa?

    Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya Mission Kitunda kwa madai kuwa wanafuata mfumo wa mtaala wa miaka 10 ya elimu ya lazima. Swali langu...
  6. A

    KERO Matokeo ya Wanafunzi na Uadilifu katika mchakato wa kutoa alama

    NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo. Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa wanafunzi waliofanya mitihani ya marudio (Supplementary/SUP), ambapo hadi sasa baadhi ya matokeo...
  7. Situation ya wanafunzi waliokuwa wanapandisha majini shuleni imekaaje?

    Nimezaliwa wazazi bado hawajajipata kwa hiyo ilibidi nisome shule za serikali primary Pia nimekulia mkoa wa Lindi sehemu yenye waislamu wengi kwa hiyo marafiki zangu wengi walikuwa waislamu na nilikuwa napenda kuwauliza story za majini maana wao ndio walikuwa wanazijua kiundani Sasa shuleni...
  8. O

    Seneta Edwin Sifuna azuiwa kuingia JKUAT Karen licha ya mwaliko wa wanafunzi

    Nairobi: Tukio la kushangaza lilitokea Alhamisi katika kampasi ya JKUAT Karen baada ya msafara wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuzuiwa kuingia katika chuo hicho. Sifuna alikuwa amealikwa na viongozi wa wanafunzi kuhudhuria Law, Policy and Governance Forum, iliyolenga kujadili sheria, sera na...
  9. A

    KERO Wanafunzi wote 295 wa Chuo cha IAA waliokata rufaa, rufaa zao zimekataliwa. Inawezekanaje?

    Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha appeals wamejulishwa kuwa maombi yao yamekataliwa kwa sababu hayakuonekana kuwa na hoja za msingi...
  10. H

    Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
  11. Kwanini homework za Wanafunzi zinafanywa na Wazazi? Punguzeni ujuaji

    Sisi tunawapa homework watoto kutokana na tulicho mfundisha. Na lengo ni kujua kama amaelewa alichofundishwa? Lakini ajabu Wazazi badala ya kuwasimamia wafanye homework, wanawapa majibu na kuwafanyia homework. Mwanafunzi akifika Shule tunajua ana uwezo mkubwa sababu homework kafanya vizuri...
  12. Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme

    Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti "Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao, wanabeba mabegi ya madaftari, na kuelekea shuleni kutafuta ufunguo wa maisha yao ya baadaye. Lakini...
  13. M

    KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  14. Cape Verde; Wanafunzi 25 wafariki kwa ajali

    Watu 25 wamefariki dunia, wengi wao wakiwa watoto na vijana, baada ya basi lililokuwa limebeba abiria waliokwenda katika ziara kuanguka kwenye korongo katika Kisiwa cha Fogo, nchini Cape Verde. Ajali hiyo ilitokea Jumamosi jioni katika eneo la milimani kaskazini mwa Fogo, ambapo basi hilo...
  15. A

    KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc. Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa...
  16. A

    KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

    Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri. Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
  17. A

    TCU ni lazima Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu kinachomilikiwa na Kanisa awe Mchungaji au Padre? Basi wawadahili wanafunzi ambao ni waumini wao tu!

    Nchi hii linapokuja suala la maslahi watu wanaanza kujipendelea, kubagua wengine. Kwanini VC ambaye ndiye mtendaji mkuu wa University inayomilikiwa na taasisi ya dini fulani lazima we aidha mchungaji au padre wa kanisa husika? Tena nchi hii viongozi wasipoangalia itavunjika vipande vipande...
  18. Wanafunzi kupigwa vibaya kisa 1500 ya mchango, walimu wa kujitolea

    Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu. Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa...
  19. S

    We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
  20. Vodacom Tanzania yagusa Maisha ya Wanafunzi Ihowanja wilayani Malinyi kwa kuboresha Mazingira ya Usomaji

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati 30 yaliyokabidhiwa katika Shule ya Msingi Ihowanja, Malinyi mkoani Morogoro, kupitia mpango wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…