wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanafunzi wasichapwe, serikali mnafikiria nini

    Hivi serikali mnafikiria nini au .. Kwahiyo sisi tuliochapwa mnatulipa fidia?
  2. A

    DOKEZO Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS hatujapata mkopo mwaka wa mwisho kutokana na HESLB kutambua tunasoma miaka mitatu badala ya minne

    Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027). Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
  3. Mfumo wa kujaza CELFORM kwa wanafunzi na wazazi mfumo haufunguki wiki nzima sasa tunaweza nini kama taifa

    Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini . Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
  4. A

    KERO Nimeomba kusoma masomo ya jioni CBE lakini ratiba imetoka kwa kufanya masomo full time, changamoto ni nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi (Private Sector) ambaye nimepata fursa ya kujiendeleza kielimu katika ngazi ya shahada. Nilichagua kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia mfumo wa masomo ya jioni (Evening Programme) kwa kuwa unaendana na majukumu yangu ya kikazi. Hata...
  5. A

    KERO Wanafunzi UDOM hatuna sehemu za kukaa siku ya 6

    Uongozi wa unalazimisha watu wafanye usajili ndio wapate room na Mfumo wa chuo haufanyi kazi hakuna control number za NHIF wengine malipo hayasomi kwenye mtandao. Wanafunzi wameshalipia hela ya hostel ila chuo hskitaki kutoa vyumba Tukalale wapi. Ukizingatia tunashindwa kuksmilisha usajili kwa...
  6. Kumomonyoka kwa maadili ya watoto ngazi za wanafunzi: Je, tatizo ni nini? Na suluhisho ni nini?

    Habari ndugu wana JF. Kuna video zimekua trend kwenye mitandao zinazohusiana na wanafunzi kuonesha vitendo vya upotevu wa nidham ya hali ya juu. Ila je wewe mwana jamii forums ushajiuliza tatizo ni nini? Naomba nitume ujumbe wangu huu kwa mama yetu na waziri husika Mh. Gwajima Tatizo la...
  7. D

    Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

    Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa. Tunaishi...
  8. A

    KERO Changamoto ya AVN kwa Wanafunzi wa DIT Wanaotoka Diploma na Kujiunga na Shahada (Bachelor’s Degree)

    Ningependa kuwasilisha changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa stashahada (Diploma) katika Chuo cha DIT, hasa wale wanaotaka kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Bachelor’s Degree). Changamoto hii haiwahusu wanafunzi wote, lakini nimebaini kuwa baadhi yao wameathirika na hali hii...
  9. A

    DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  10. M

    KERO Chuo cha CBE kimekataa kumsajili Mwanafunzi kisa hajalipa laki 8 huku mwisho wa kulipa ada ukiwa haujafika

    JE, NI SAWA MWANAFUNZI KUPOTEZA MWAKA WA MASOMO KWA SABABU YA TAARIFA ZA MALIPO YA ADA? Leo nikiwa maeneo ya Posta, Dar es Salaam, nilikutana na dada mmoja ambaye ni mwanafunzi mpya (fresher) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Alikuwa katika hali isiyo nzuri kabisa, akilia kwa uchungu...
  11. Wanafunzi Babati watakiwa kuelimisha jamii kuhusu uhifadhi, mabadiliko ya tabianchi

    Babati. Wanafunzi 40 wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge (Burunge WMA), wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia elimu waliyoipata kuhusu uhifadhi na mabadiliko ya tabianchi kuelimisha jamii za vijijini. Wanafunzi hao wametakiwa...
  12. E

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026. 2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
  13. A

    KERO Wizara ya Afya na NACTVET zishughulikie matokeo yetu ya diploma kwa haraka ili yafikishwe Vyuoni

    Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo. Tunapouliza...
  14. J

    KERO Wanafunzi wa NIT NTA LEVEL 5, course ya Library and information studies wanapewa matokeo yasiyoeleweka

    Sisi wazazi wa wanafunzi wanaosoma kozi ya Technician Certificate in Library and Information Studies kwa mwaka wa masomo 2025/2026, tunasikitishwa na changamoto zinazowakabili watoto wetu kuhusu mitihani, tathmini za kozi na utoaji wa matokeo. Tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala hili ili...
  15. Responded CBE: Suala la matokeo ya Wanafunzi wa 2018/19 na 2019/20 kutowekwa katika mfumo wa NACTVET, linashughulikiwa

    Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET TAREHE: 20/10/2026 Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
  16. M

    HOJA Chuo cha DIT kuwa na hosteli haitoshi, Wanafunzi wanastahili mazingira bora ya kuishi!

    Naomba kuibua suala linalohusu hali ya Hosteli za Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambalo linaibua maswali kuhusu ubora wa mazingira ya makazi yanayotolewa kwa Wanafunzi. Inasikitisha kuona kwamba hosteli inaweza kuwepo, lakini mazingira yake yakawa hayaridhishi. Kuwepo kwa jengo la...
  17. H

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
  18. D

    KERO Huduma za UDOM kwa upande wa changamoto za kitehama kwa wanafunzi ni mbaya mno

    Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms) Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
  19. A

    KERO Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi

    Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi. Chuo cha ushirika moshi MoCU kilichopo mkoa wa Kilimanjaro kina hali mbaya hasa maeneo ya malazi ambayo wanafunzi wanakaa, pia hata sehemu ya vyoo na bafu hazina ubora na pia ni hatarishi kwa...
  20. Rais Dr.Samia Suluhu Hassan awatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao Leo.

    Rais, ameeleza, Nanukuu, "Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima. Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…