Wanafunzi 20 wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Dkt. Kalemani iliyopo Kata ya Bwongera, Wilaya ya Chato mkoani Geita, wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua ikiendelea kunyesha.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Hamis Wambura, amesema tukio hilo limetokea wakati wanafunzi hao...