wanadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Kheri James: Kazi wanakupa wanadamu, riziki anakupa Mungu

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema kuwa kazi si chanzo cha riziki bali ni njia ya kutafuta kipato, akisisitiza kuwa riziki hutoka kwa Mungu. amesisitiza umuhimu wa kutambua kuwa pamoja na juhudi za kufanya kazi, mafanikio ya maisha yanategemea pia baraka za Mwenyezi Mungu.
  2. R

    Kwa nini wanadamu wamejiumbia miungu??

    https://youtu.be/kubcbS3D8gI?si=_LcLmsHL8HnSPSED
  3. R

    Tofauti kati ya wanadamu na wanyama ni hii ambayo nchi za Kiafrikà zoooote zinapitia

  4. Kwanini wanadamu wakitoka nje ya dunia wanapewa namba na sio majina yao?

    Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja. Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani. Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa...
  5. Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
  6. Utofauti wa Rangi na Nywele za Wanadamu ulitokana na Nini? Mungu amenipa ufunuo

    Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji. Biblia inaonyesha kwamba wanadamu walitokana na familia ya kwanza ya Adam na Hawa na wakaendelea kuongezeka kwa...
  7. Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  8. M

    Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana

    Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana Siku ya leo nilikuwa katika maombi kwa ajili ya watumishi wa Mungu ambao wamekuwa wakipitia katika changamoto mbalimbali za kidunia. Moyoni mwangu Mungu alipitisha mistari ya kuomba kwa ajili ya watumishi hao, ambao kwa kweli wanapitia katika...
  9. Je, tunawezaje kuamini Biblia au Qur’an kama ukweli kamili ilhali ziliandikwa, zikakusanywa, na kutafsiriwa na wanadamu wasio wakamilifu?

    Je, tunawezaje kuamini Biblia au Qur’an kama ukweli kamili ilhali ziliandikwa, zikakusanywa, na kutafsiriwa na wanadamu wasio wakamilifu?
  10. Ni kama kosa kusema mutation ila lipo ndio maana unashangaa magonjwa yanaweza kufikia wanadamu.

    Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae. Leo kuku anaweza kukuambukiza magonjwa yake au mnyama wakati sio genetic yake. Kuna project ambazo ni za siri sana inasemekana genetic ya mwanadamu...
  11. Unahisi nini kinafanya wanadamu wasiishi kwa amani?

    Unahisi nini kinachostopisha wanadamu wasiishi kwa amani?
  12. J

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  13. Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  14. Je, Idi Amin Alikuwa anakula Wanadamu?

    Unajua Idi Amin? Watu wake walimuita Big Daddy, lakini maadui wake walimuita mzee wa buchani – “The Butcher”. Yaani huyu jamaa alitokea kule West Nile uganda kaskazini, Uganda, kijiji chenyewe hakijulikani jina, alikulia kwenye familia maskini chokaa balaa. Baba na mama wakatengana, akabaki...
  15. Wanadamu wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mbwa Mwitu!

    Wakati wa vita, Mbwa Mwitu wa kike hukaa karibu chini ya wa kiume, kwa utulivu mkuu na usio na hofu. Anamwamini kabisa na anajua nguvu zake zitawalinda wote wawili. LAKINI...! Mbwa mwitu wa kiume wana sheria moja wanayoiheshimu sana ...! Hawadhuru wanawake kamwe; hivyo mbweha jike yuko salama...
  16. Kuna mada zinachekesha sana kuonesha kuna kundi wanatumia kubishia vilivyo tengenezewa

    Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia. Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni vya sheatani vilivyomo duniani ila cha kushangaza anayepinga kavaa nguo ambayo ni teknolojia, katumia...
  17. Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

    Good morning,. Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja..... Kila siku...
  18. Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  19. S

    Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa

    Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
  20. R

    Ikiwa wanadamu wote wameumbwa kwa udongo, Hawa nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?

    Salaam, Shalom! Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo. Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma. Je mtu huyu amepata maono kusema jambo hili? Au tuseme naye ameota ndoto kama Mfalme Nebuchadnezzar aliyeona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…