wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  2. Tafuta Pesa Uamkiwe na wakubwa zako

  3. Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume. Akiwa njiani aliitwa na watu...
  4. Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  5. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  6. Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya miongo kadhaa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mwenye akili nyingi, alifanikiwa kusoma kwenye shuke za...
  7. Kwanini duniani, Afrika na Tanzania kwenye list ya matajiri wakubwa wanawake hawamo?

    Leo nilikuwa napitia mtandao wa matajiri na taarifa za mabilionea mbalimbali Duniani, kwenye mabara, na hasa Africa na nchini Tanzania. Nimeshangaa kuona wanawake kwenye haya mambo hawapo kabisa, wakati utafiti jamii usio wa kitaalam imegundulika mwanamke ndio kiumbe anayependa Pesa na mali...
  8. H

    Habari naomba ushauri au mwongozo kuhusu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.

    Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
  9. Movie ya The Beekeeper ni dongo kwa viongozi wakubwa ambao utumia wanao au watu kujitafutia pesa haramu kwa ajili madaraka yao

    movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani. tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k...
  10. Mashambulizi ya Iran huko Iraq yamuua mmoja kati ya matajiri wakubwa wa Iraq

    BREAKING; Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq. Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa. Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
  11. Kisa cha Marafiki Wawili, Madikteta Wakubwa wa Afrika

    Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo. Pichani anaonekana...
  12. Yaani serious kabisa Watanzania hamumjui anayewakamata na kuwateka Wafanyabishara wakubwa wa Singida?

    Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi? Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini...
  13. Matajiri wakubwa wa Marekani kutembelea Israel kuonyesha wanafungamana na Israel kwa vyovyote

    Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
  14. B

    Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
  15. S

    Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

    Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20. Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20. Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi. N.B: Kama bado...
  16. Ukiona umepewa kiti kwenye meza ya wakubwa, jifikirie mara mbili

    Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu. Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU. Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
  17. R

    Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
  18. A

    Mnanishaurije kuhusu kuchukua cheti cha udereva NIT?

    Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana. Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi Lakini sasahivi ofisi imefilisika kiasi chasisi mafundi kukosa hela nimejalibu kuomba kazi sehemu kazaa nimekosa Nimeweka hakiba...
  19. Benki ya CRDB yaingiza dola 150 milioni kuwakopesha wateja wakubwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt Ally Laay (wa pili kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) wakionyesha mkataba wa mkopo wa dola za Marekani milioni 150 uliowezeshwa na Benki ya Intesa Saopaulo na Benki ya Investec. Wa kwanza kulia ni...
  20. Z

    Wakubwa duniani ni kama miungu watu: Boss yuko ndani ya Benz, halafu walinzi wanakimbia kwa miguu kuilinda!

    Huyo ni Rais wa Korea ya kaskazini akivuka mpaka kwenda kukutana na Rais wa Korea ya Kusini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…