wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka...
  2. U

    Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  3. Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

    Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi. Mfano hapa...
  4. Msaada wakuu nachanganyikiwa, nimekuta Mijusi wakubwa geto

    wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa...
  5. Fahamu Kazi ya briefcase inayobebwa na walinzi wa raisi au viongozi wakubwa.

    Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile vile bullet proof wakati wa shambulio hatarishi linapotokea, na uwezo wa kuunfold ni within...
  6. Makosa ya Mbowe wala Lissu ni yapi wakati hiyo ndiyo siasa aka mchezo mchafu ambao machawa wanataka kuutimia kuumiza wapinzani wao wakubwa na tishio?

    Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
  7. Wasambazaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani.

    Wasambazaji/wauzaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani. Population ya ukristo nchini China -According to a 2023 Pew Research Center analysis, about 2% of Chinese adults identify as Christian, which is roughly 28 million people. China ndio taifa kubwa la ukana mungu duniani. Wachina kwao...
  8. I

    Waga tunasema waarabu ni watu wabaya sana na tena wanafiki wakubwa wanaotumia dini kama kichaka cha kujifichia.

    "Nilibakwa na majambazi wa Assad - lakini siogopi tena kuonyesha uso wangu". **************************************** https://www.bbc.com/news/articles/c89xgdyk597o
  9. Wakubwa tukutane hapa mida yetu ya kula sikukuu ikifika.

    Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse...
  10. Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
  11. NI sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?

    Wakuu. Nitakuwa Dodoma Kesho. Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
  12. Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  13. Wafahamu Wafadhili Wakubwa Wa Mashirika ya Hisani Na Sifa Zao (Major Gift Donors and Their Traits)

    Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
  14. Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  15. Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  16. Tukubali tukatae Yanga ni Walozi wakubwa

    Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi. Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti...
  17. M

    Wakubwa wanaosimamia chaguzi wajue waliapa kwa Qur'an na Biblia- Mwenyezi Mungu hataniwi

    Umezuka mchezo nchini wa watawala kutoheshimu haki za raia, kutoheshimu viapo vyao. Na hii yote ni kwa sababu ya Kibri cha madaraka. Kibri cha kujiona "wakubwa" na kwamba ni untouchable. Kwa kiburi hicho, hawa wenye dhamana huvunja viapo vyao walivyoapa kwa kushika Qur'an na Biblia halafu...
  18. B

    Sisi kama SIMBA SC, kwa umoja wetu tumekubaliana kwamba TABORA UNITED ndio wakubwa wenzetu kwenye NBC premier league.

    Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
  19. Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  20. Pamoja na Kamala Harris kutumia wasanii wakubwa wote wa Marekani bado ameangukia pua!

    Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk! Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…