wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

    Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
  2. Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  3. Kuku wakubwa wa kienyeji

    Habarini wadau Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa. Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
  4. Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
  5. Wakubwa hapa nimefail wapi?

    Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa Kwanini unakunywa beer ? Nikamjibu tu napenda akaniangalia usoni akasema wewe muongo Ila unaonekana hauna mwanamke hilo sikumjibu...
  6. PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA? I. USULI “Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua kuwa hiyo si serikali nzuri. Serikali inayokataa kusikia sauti za watu wake inaelekea kwenye udikteta...
  7. Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  8. PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  9. M

    Kikao cha Samia na wakubwa wa Jeshi Tanga ni kikao kazi au?

    Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi. Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
  10. Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  11. PostGE2025 Wote wanaotaka kuandamana wamekuwa maadui wakubwa wa wananchi, hakuna mwananchi yuko tayari kukaa ndani tena

    Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
  12. Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
  13. Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

  14. PostGE2025 Wote wanaopingana na kile kilichosemwa na Father Kitima ndio maadui wakubwa wa Tanganyika

    Wakuu, Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali. Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga hoja za Dr. Kitima ni kama wametolewa ubongo na kuingiziwq kimba kumkichwa hata wasielewe kile...
  15. H

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea. Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi...
  16. Wanaharakati wakubwa wa haki walikuwa mitume, neno wanaharakati lisitumike vibaya

    Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
  17. Nilikuwa naona china ila kwa serilikari inwaweza kuwa watumizi wakubwa sijajua jina lake ila mikusanyiko ya siku kuwa wanakubari serikali sio kupinga.

    Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
  18. Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  19. N

    FlightRadar inaonesha ndege aina ya Boeing ikielekea kusikojulikana. Je, kuna utoroshaji wa pesa za umma au viongozi wakubwa wanakimbia nchi?

    Air Tanzania Dreamliner ime take off from JNIA masaa machache yaliyopita huku uelekeo ukionesha ni private. Unadhani kuna nini kinaendelea hapa?
  20. Magaidi wauaji wakubwa wakiandaliwa tayari kuachiwa huru katika magereza ya Israel

    Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na mateka wa Israel watakao achiwq na magaidi hao!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…