wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Malaysia ndio wazalishaji wakubwa zaidi wa condoms duniani

    Wanazalisha condoms bilioni tano kwa mwaka, katika kila condom tano ulizotumia au unazotumia mojawapo imetoka Malaysia.
  2. K

    Tatizo kubwa: Serikali ndiyo wavunja sheria wakubwa!!?

    Serikali badala ya kulinda ndiyo hao hao watekaji wa watu Serikali ndiyo hao hao wanabambikizia kesi watu Serikali hiyo hiyo ndiyo wanaiba kura za watanzania Halafu tunasema tuko sawa😂😂
  3. Orodha ya Manabii wakubwa 7 waliowahi kukaa gerezani kwa kupigania HAKI

    ORODHA YA MANABII WAKUBWA 7 WALIOWAHI KUKAA GEREZANI KWA KUPIGANIA HAKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wafuatao ni manabii wakubwa ambao waliwekwa jela au mahabusu kwa sababu mbalimbali wakiwa wanapigania HAKI; 1. NABII IBRAHIM. Huyu ndiye Legendary. Yaani unaposikia sijui wapigania...
  4. Kwa nini CHADEMA imekuwa ikizalisha wasaliti Wakubwa ndani yake kwa mwaka.

    Chadema waje watuujibu hapa aisee. mimi ninaowakumbuka. 1. Zito Kabwe (Makamu Mwenyekiti Taifa) 2. Dr slaa ( Katibu mkuu Taifa) 3. Vicent Mashinji (Katibu Mkuu Taifa) 4. Alkael Mbowe ( Mwenyekiti Taifa) 5. Isa (Mwenyekiti Zanzibar) 6. Peter Msigwa ( Mjumbe wa Kamati kuu) 7. Civid 19 ( wabunge...
  5. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  6. Nikiwa kijana nilikuwa nina hulka ya kupenda wamama wakubwa wakubwa

    maisha yanakwenda kasi sana... habarini. kimsingi umri umesogea kwa sasa ila kuna mambo nikikumbuka nastaajabu mno. at only 23 up, nilikuwa sivutiwi na wanawake slim.. nilipenda sana big size... thick thrills. kama hilo halitoshi, nilipenda akina mama watu wazima na karibu wote ni maria...
  7. Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa

    Nipo aged above 30. Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa above 40. Sina hamu na wasichana/ wanawake wa rika langu. I this normal?
  8. Zile nyuzi za wakubwa kipindi kile kwa jf zimeenda wapi?

    Ebu fanyeni kurudisha jukwaa la wakubwa ili mambo yaende sawa hapa jf bwashee 🤔 Hili jukwaaa tumeliomba kwa mda mrefu sijui kwanini mnatubania bila sababu za msingi asee 🤔
  9. Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  10. Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  11. Hakuna Ujenzi wa Gaza mpya mpaka wakubwa liane na Matakwa yetu-Benjamin Netanyahu

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza: Hakutakuwa na ujenzi mpya huko Gaza isipokuwa, kwanza kabisa, kutakuwa na uondoaji wa kijeshi. Siwezi kukuambia ni aina gani ya ujenzi mpya utakaokuwa; tunajadili hili na marafiki zetu wa Marekani. Wakati mwingine tunaonana ana kwa ana...
  12. Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

    NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia. Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike? Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
  13. Wazee wanaongea , Wakubwa wameziba masikio

    Je tunaelekea wapi?
  14. Makamu Haramu Mteule ni Mwizi kama walivyo wakubwa zake.

    Kuna wakati taifa linapofika mahali ambapo siasa inakuwa si tena suala la uwezo, uadilifu na historia ya mtu, bali ni suala la nani yuko karibu na nani na nani anaweza kupewa nafasi gani. Kinachotokea sasa kinapaswa kutufanye tujiulize: Je, tunapima viongozi wetu kwa viwango gani? Kwa wale...
  15. Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  16. S

    Simba mjifunze kuheshimu wakubwa, Msipobadilika mtajua hamjui hii ni code nawapa

    kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau! Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu; Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea! Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
  17. Usiingilie ugomvi wa Wakubwa! Ndicho kinachoenda kuliza wengi

    Hallelujah! Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha. Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia. Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
  18. Sababu ya kupenda wanawake wakubwa ni hii

    They are soo emotional mature Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana They're so romantic, (sensual) Wanahisi zaidi in terms of intimacy, na kwa kufanya hivyo humplease...
  19. Jukwaa la wakubwa (JLK):Gharama za ukorofi

    Ujana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…