wakatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

    Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo. Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
  2. M

    Mlidhania mkiwatukana na kuwadhalilisha wakatoliki rais Samia atakubalika! Ndio anazidi kukataliwa mioyoni mwa Watanzania.

    Fanyeni utafiti namna vijana wanavyomchukuia. Nendeni vyuoni na kwenye mashule mfanye tafiti. Wazee pia hawamkubali. Mlidhani kutukana kuwakejeli wakatoliki mtapata sapoti ya wakristo wengine? Mmelamba mchanga.
  3. Wakatoliki GMO wataka Padri Kitima kuchagua siasa au dini

    Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa. Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande...
  4. Ipigwe mechi ya mpira kati ya Wakatoliki na Wasabato ili kuleta mshikamano

    Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo; 1. Wasabato vs Wakatoliki 2. CCM vs CHADEMA 3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto 4. Wives vs Sidechicks 5. Sukuma Gang vs Msoga gang 6. Walokole vs Wanywa...
  5. Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa. Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo...
  6. Tofauti kati ya maandano ya WAKATOLIKI na wanaojiita wakatoliki

    Tazama tofauti kati ya maandano ya "wakatoliki" na "wanaojiita wakatoliki"
  7. Simbachawene unagomea maandamano ya "Wakatoliki" hutaki mama asafishwe?

    Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani? Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali...
  8. Wakatoliki mjiandae majaribu yataendelea sana

    Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo. Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda. Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku...
  9. Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  10. Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

    Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema. Dr. Slaa amesema...
  11. Maigizo: Bilion 6 kwa Mchina, maandamano Wakatoliki feki

    Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu. Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
  12. Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

    Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima. Kwa Padri Kitima, waumini wanadai amejihusisha na siasa kwa...
  13. R

    Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

    Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki. Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick...
  14. Sugu: Wakatoliki na vijora wapi na wapi? Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?

    Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?! Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana DRC mpaka Kabila akachemka. NB: Hawa wote MALOFA pamoja na waliowatuma,matako yenu😎
  15. Wakatoliki mmewatambua watesi/maadui wa Imani yenu?

    Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda. Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe. Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
  16. B

    Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
  17. Watakapoandamana Wakatoliki Halisi kulaani "kutaka kukatwa vichwa" Mwigulu uwalinde

    Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za...
  18. ‘Wakatoliki wa mchongo’ wakiwa kwenye foleni ya kuchukua posho baada ya kumaliza IGIZO lao pale Ubalozi wa Vatican

    Kipande cha video ambacho kinaonesha wanaodhaniwa kuwa ni waumini wa kanisa katoliki wakiwa kwenye foleni ya kuchukua fedha. Soma Pia: Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana Ambapo mapema leo Wanaodai kuwa...
  19. Wakatoliki wa kweli hawaropoki hadharani wanatenda kwa Sala!

    Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye yoyote...Papa,Kadinali,askofu,paroko,katekista,mlei au mwanajumuiya wa katoliki anayeenda kwenye media kuongelea siasa. Wote waliofanya hivyo nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…