wakatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakatoliki ni wagumu sana duniani kote usiwachukulie kiwepesi wepesi wanajua mambo mengi sana.

    Nashangaa mtu anasema wakatoliki sijui wamekuwaje lakini in short hawa watu wamenyooka kama rula hawataki bla bla. Viongozi wakikatoliki.hata kama utawapa nchi waiongoze mtapiga hatua hadi mkashagaa, ndio maana wanajiamini kupita kiasi Labda blabla uzilete wewe na ukizileta kwao wanakupiga...
  2. Kwanini Wakatoliki wanapinga njia zote za uzazi wa mpango wakitaka njia ya kalenda tu itumike ?

    Kwa nini Wakatoliki waliamua kuharamisha na kufanya ni dhambi kutumia njia zote za uzazi wa mpango zisizo za asili (artificial) za condom, vidonge, sindano, njiti, P2, kitanzi na kukata mirija ya uzazi wakaidhinisha njia moja tu ya kutumia kalenda ?
  3. Wakatoliki huwa mnaamini kweli kabisa Ekaristi ni mwili halisi wa Yesu wakati mnaila?

    Wakatoliki hivi wakati mnakula ule mkate unaoitwa Ekaristi mnaopewa na padri au askofu katika misa huwa kweli mnaamini ni mwili halisi wa Yesu Kristo mnaoukula kama ambavyo inafundishwa na kanisa lenu ? Yani ni kweli kabisa huwa mnaamini na kuhisi mkate wa ngano umebadilika kimiujiza na kuwa...
  4. Wakatoliki na Walutheri wanaweza kusababisha Lissu kuachiwa

    Waumini Wakatoliki na Walutheri wakigoma kwenda kanisani mwezi mmoja tu mfululizo viongozi Wakatoliki na Walutheri serikalini watasababisha Lissu aachiwe, Dini bado ina nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa wanasiasa wa Tanzania na inaweza kutumika kama nyenzo ya mabadiliko raia wakijua kutumia vizuri
  5. R

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Silaha yetu Wakatoliki si mabomu, si mizinga, si bunduki

    Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, akizungumza jana Oktoba 28, 2026, wakati wa Sala ya Rozari Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu George, Kanisa Kuu la Kayanga mkoani Kagera, amesema; "Je, kuhalika kwa sala na maombi ni kuvuruga amani ya nchi? Nauliza...
  6. Kwanini Wakatoliki waliamua kumpa Maria umuhimu mkubwa zaidi tofauti na mitume wengine wa Biblia?

    Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume. Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio...
  7. 2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

    Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola. Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi...
  8. Je, Wakatoliki Kuimba na kucheza nyimbo za Walokole ni dhambi?

    Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu. Kanisa Katoliki linakataza kusikiliza au kuimba nyimbo za Wakristo wengine mradi tu mashairi yake hayaendi kinyume na imani na...
  9. P

    Apps nzuri kwa WAKRISTO WAKATOLIKI ninazo recommend Android na iOS.

    Android na iOS. Tafakari nasi- hii ni shajara, na Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, rozari takatifu, tafakari ya siku na sala mbalimbali. Pia inafanya kazi bila mtandao. Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi kazi bila internet. Radio Maria- hii ni radio na podcast. Auxilium...
  10. Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

    Kwanza tunaamin hiki kitabu kikiandikwa na MUNGU kupitia mkono wa binadam...na mara ya kwanza kilkuwa na vitabu vingi... lkn zinazochapwa kwa sasa zimenyimwa baadh ya vitabu... na wala sisikii vikitumika ktk mafundisho.... mf SIRA...BARUKU..SUSANA...BELI NA JOKA..WAMAKABAYO.. JE hii n kwan...
  11. P

    Kwa wakatoliki.

    Kuna tabia ya watu kuinua mikono juu wakati wa sala ya baba yetu. Si sawa ile mi kwa ajili ya makuhani tu . Eleweni. Kwa muktadha zaidi nimewawekea link. https://x.com/UcheMaryOkoli/status/2083671223939281311/video/1
  12. R

    Mapadri na wanatheolojia wakatoliki mbona mnatofautiana kuhusu Utatu Mtakatifu?

    Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika...
  13. G

    Wakatoliki hamtakiwi na mzanzibari, mlioko huko bado anzeni kufungasha

    Unganisha matamko ya TEC, wadada wa vijora, ukimya wa kkkt. Subirini mtaona, kwa mara ya kwanza hakutakuwa na mkatoliki katika uongozi wa juu!
  14. Vatican yawatenga na kuwaondoa kundini Wakatoliki wa SSPX wenye msimamo mkali.

    Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa Leo. SSPX ni Wakatoliki wanaoshikilia msimamo mkali na WA kale zaidi wa dini wakiendesha misa zao...
  15. Msinielewe vibaya, uhu sio udini ILA wakatoliki tumepwaya sana, mapdri mmekuwaje?lissu alipigwa risasi tukanyamaza,kitima mpo kimnya mnasubilia wauwe?

    Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya, Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
  16. Wakatoliki, hiki ni nini kinachofanyika hapa?

    Ni kitu gani kinachofanyika hapa? Kwa nini Yesu ni mzungu? Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
  17. P

    Kwanini wakristo wakatoliki wanaungama dhambi kwa padri? AKA kuhani?

    Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa. Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa. Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
  18. Wakatoliki hawana ubaguzi wako na rational judgment.

    Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile. 1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo. 2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
  19. L

    Picha ya Siku Na Ujumbe Wa Siku Kutoka Kwa Rais Samia Uliowagusa Viongozi Wa Dini,Waumini na Wakatoliki wote Nchini kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…