wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 'Umbea mode of security system' namshauri Samia aitumie

    Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82. Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake. Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya...
  2. Dkt. Tulia ataka UVCCM kuacha vioja, wajibu hoja

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutumia nafasi zao kubishana kwa hoja na kuendelea kudumisha amani ,umoja na mshikamano hali itakayosaidia kuwalinda Viongozi wa taifa . Dkt.Tulia ameyasema hayo Jijini Dodoma...
  3. Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  4. Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  5. M

    Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  6. Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

    Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
  7. B

    Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu

    Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana. Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria. Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote. Catherine Ruge anapambana. Kwa...
  8. B

    Vyama vya Siasa havijui au vimesahau wajibu wao?

    Vyama vya siasa si ajira kwamba ni mahali pa kwenda kujipatia riziki. Vyama vya siasa vina wajibu. Wajibu wake si mdogo. Siasa ni kama mchezo wa mpira kuchukua na kuzitumia lose balls zote Ili kujipatia magoli. Kumekuja kukapita mambo ya tozo. Kumekuja panya road. Kunafukuta ya bima ya afya...
  9. Wajibu wa kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

    Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu. Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
  10. Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  11. Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
  12. kwenu baadhi ya watanzania vichwa panzi, Msaada kutoka kwa ndugu sio wajibu, akikusaidia ni bahati wala sio lazima, acha lawama asipokusaidia

    Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe, Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu...
  13. Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  14. M

    Je, kutosheka katika sex ni dhana na wajibu binafsi, tegemezi au shirikishi? Na mwenye vigezo na ufahamu ni nani?

    Salaam wanajukwaa Naomba ufikirie, ujitazame, ujipime na usome hadi mwisho penye mapungufu jazia, penye kosa kosoa, na maoni au mtazamo wako ni muhimu. Hili neno kuridhika katika sex ni jukumu la kila mshiriki? na ili mtu aridhike ni dhana tegemezi au shirikishi? Mwenye kipimo Cha mridhiko ni...
  15. Intern at WAJIBU – Institute of Public Accountability 2 posts

    WAJIBU – Institute of Public Accountability is a local based think- tank institution which was founded with the purpose of promoting public accountability in Tanzania. WAJIBU aims to empower citizens, firstly to understand and appreciate the concept of transparency, accountability and good...
  16. SoC02 Dini inapogeuka kichaka cha kujificha kwa watawala wasiotimiza wajibu wao kwa wananchi

    UTANGULIZI. Nafungua kamusi yangu ya kiswahili na Kutambua kuwa Neno "DINI" ni neno la kiarabu lenye maana ya jumla ya imani ya binadamu pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji (...
  17. Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  18. Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

    Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
  19. Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  20. Ni wajibu kila mmoja kujiandaa kujiridhisha na sex na si vinginevyo

    Shoo Shoo Kali ni Kali ! Kwa ufupi tu unapotaka kula njaa ni yako na kushiba ni jambo binafsi na kuridhika na msosi ni jambo binafsi hasa ladha ya ulimi wako, ubora wa meno, test ya chumvi, potion size etc, uwezo wa tumbo, mazoea, na etc. Hii ni akili kubwa tu karibu kwa misumari, mateke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…