wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Kutimiza Wajibu Wetu kwa Pamoja: Kuunganisha Sehemu Ndogo za Wema kwa Ajili ya Utawala Bora

    KUTIMIZA WAJIBU WETU KWA PAMOJA: KUUNGANISHA SEHEMU NDOGO ZA WEMA KWA AJILI YA UTAWALA BORA Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya...
  2. Wosia wa Le Mutuz: CCM/Serikali Imejisahau Haisikilizi, Ikosolewe. Wabunge Wasisifu Viongozi kwa Kutimiza Wajibu Wao. Upinzani Sio Uadui, JF Keep Up!

    NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
  3. SoC03 Wajibu wa kila mwenye kipato kulipa kodi

    Bunge limetunga sheria mbalimbali za kodi ili kwamba kila mtu mwenye kipato halali aweze kulipa kodi, hivyo kuchangia mapato ya serikali. Lakini jambo moja la kusikitisha sana ni kwamba wanasiasa, ambao ndio wanaotunga sheria hizi, wameamua kujisamehe kulipa kodi kwa manufaa ambayo wanayajua...
  4. Je, unafahamu kuwa una wajibu wa kuzipisha daladala (mabasi ya umma)

    JE, UNAFAHAMU KUWA UNA WAJIBU WA KUZIPISHA DALADALA (MABASI YA UMMA) ZITOKE KWANZA KITUONI KABLA WEWE ULIYEPO NJIA KUU HUJAENDELEA NA SAFARI? NDIYO, ni sheria ipo. Kwamba ili kurahisisha mwenendo wa magari ya umma yanayobeba abiria maeneo ya makazi, dereva wa gari nyingine yoyote analazimishwa...
  5. S

    SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  6. B

    Vyama visivyo na wajibu kwa jamii ni vya nini?

    Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao. Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo. Kudai katiba mpya ni...
  7. M

    Tuwaelimishe vijana wanaoajiriwa sasa kwenye Utumishi wa Umma kuhusu haki na wajibu wao!

    Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji watekelezaji wa adhima hiyo ya serikali hasa kuhusu eneo la haki na stahiki za waajiriwa wapya. Mara...
  8. TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
  9. Wabunge wa bunge la Tanzania wanajua wajibu wao?

    WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI? Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda. Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
  10. Kila mmoja wetu katika jamii ana wajibu wa kupambana na Rushwa

    Kila mwananchi ana wajibu wa kupambana na rushwa katika jamii. Rushwa ni tatizo kubwa katika nchi nyingi duniani na huathiri maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Ni jukumu la serikali kuhakikisha kwamba inaunda na kutekeleza sheria na sera za kupambana na rushwa, lakini kila mmoja wetu ana...
  11. Mitandao ya kijamii husaidia kuwawajibisha viongozi wa Umma wasiotekeleza wajibu wao

    Katika jamii ya Kidemokrasia, Uhuru wa kutoa maoni Mtandaoni huupa Umma nafasi ya kuchunguza Shughuli za Serikali na kuwawajibisha Viongozi kwa matendo yao. Huwafanya Viongozi wawe Waangalifu na wenye busara katika kutekeleza Majukumu yao kwa uwazi kwa Manufaa ya Jamii nzima. ==== Katika...
  12. Je umeshawahi kufanya wajibu wako kama mlimwengu?

    Wasalam wana JF Wahenga walisema: ASIYEFUNZWA NA WAZAZI WAKE ATAFUNZWA NA ULIMWENGU. Mimi na wewe ndiyo either wale wasiofunzwa na wazazi au ndiyo walimwengu wenyewe. Swali langu kwako, je umeshawahi timiza wajibu wako kama mlimwengu? Mimi nimetimiza wajibu huo mara nyingi kwa slay queens...
  13. Mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu lakini asili yao haitaki wafanane katika baadhi ya haki, majukumu, wajibu na adhabu

    Assalaam Alleykum. hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa. Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
  14. Waziri Mwigulu Nchemba aache hasira! kujibu maswali ya wabunge ni wajibu sio fadhila

    WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
  15. Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  16. Je, Unatambua Wajibu Wako Mtandaoni Kama Raia wa Kidigitali?

    Wajibu wa Raia wa Kidigitali inamaanisha uhusiano mzuri ulipo kati ya watu na mwingiliano wao mtandaoni. Hii ina maana kuwa nadhifu mtandaoni, kufanya matendo yanayofaa, na utayari wa kuwajibika kwa matendo binafsi mtandaoni. Wajibu huu unamaanisha maadili ambayo mtu anapaswa kuonesha...
  17. Wananchi wajengewe uwezo wa kutambua changamoto zao na wajue kuwa ni wajibu wao kudai haki

    Pemba, ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha jamii inakuwa na uwezo wa kutambua umuhimu wa kudai upatikanaji wa haki zao za msingi, kamati za wananchi kutoka shehia za Wilaya za Micheweni, Wete, Mkoani na Chake Chake Pemba zimeshauriwa kuendelea kuwashirikisha wananchi kujadili changamoto zinazowakabili...
  18. B

    Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

    Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani. Ajira si jambo la kufanyia mzaha. Ajira za watu kupotea katika kipindi cha serikali moja, ni moja ya vigezo...
  19. M

    Watanzania na waafrika kwa ujumla tuna wajibu wa kimaadili kupeleka ustaarabu ulaya na Marekani!

    Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
  20. TFF hakikisheni ahadi ya pesa kwa Timu iambatane na wajibu

    Binaadamu ukimuahidi au akitarajia jambo anaweza asijali sana usalama wa wengine na wakati mwingine hata usalama wake mwenyewe. Teja anapohitaji pesa au chochote ulichonacho haoni shida kukuchoma kisu au bisbisi ya ubavu...kwake kwa wakati huo chenye thamani ni elfu mbili uliyonayo na sio uhai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…