waje

  1. GE2025 Waangalizi wa Kimataifa waje kushuhudia CHAUMMA akishindwa kihalali

    Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa. cCM wakishinda unalia lia. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Pascal Mayalla
  2. Siyo kila anayekuja Kukuangalia Wodini Hospitalini ukiwa Hoi / Mahututi anakupenda kwani wengine hutaka Upone ili Wao waje Kukumalizia kabisa

    Nadhani wote hapa tumeelewana kabisa na kama haujauelewa huu Uzi wa GENTAMYCINE mtafute Genius akufafanulie.
  3. Mh. Rais wetu mpendwa, akae na waandamizi wa ulinzi na usalama waje na tamko!

    Asalam aleykum!, Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
  4. Mbunge Msukuma: Wakenya waje kujifunza kwetu

    Aisee yani siku nikikutana na huyu darasa la saba nita muuliza swali moja tu. Ulishafika Nairobi ukajionea idadi kubwa ya wageni na mataifa makubwa yamewekeza hapo nairob na kenya nzima. Huyu kama ndio mbunge wenu hata uchambuzi hafahamu anachokiongelea ni uchawa tu. Kujiuliza hapa east afrika...
  5. Wale Ma-Tour Guide na Tour Operators: Huu Ndio Uzi wa Kupiga Pesa Kiroho Safi kwa Digital Marketing, Wageni Waje Wenyewe

    familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
  6. C

    Vijana wanaosoma Bachelor of Archaeology ili waje kuwa wakina nani?

    Unakuta kijana kabisa anaenda Chuo Kikuu kusoma BA Archaeology ili iweje? Dunia ya Leo kweli?
  7. Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  8. Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  9. Tabia gani uliyonayo ambayo hutamani watoto wako wairithi kutoka kwako?

    Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda. Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira...
  10. B

    Waasi waalika jumuiya za EAC na SADC waje maeneo yaliyokombolewa na AFC/M23

    18 February 2025 Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi Lawrence Kanyuka https://m.youtube.com/watch?v=FwWbbi-Ybms ili kujionea ukweli wa masuala ya utawala bora, usalama na ulinzi ulivyodumishwa...
  11. Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  12. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Tunawaalika wasio wanachama wa CHADEMA waje wajiunge na Chama chetu cha Haki, tupiganie maendeleo na ustawi wa Nchi yetu pamoja

    Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya. Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na...
  13. Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

    Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni. Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya. Wacha nijitoze wenda akatulia
  14. Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  15. Kwa hiki wanachokifanya DP WORLD bandarini, maadui zetu wakubwa ni viongozi wetu walioruhusu upuuzi kudumu muda mrefu

    Wananzengo, mu Hali gani? Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu. Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi. DP WORLD wamepewa bandari bure, wamepewa na vitendea kazi bure. Leo wameongeza Terminal Trucks kumi na...
  16. Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

    Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili USSR
  17. Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

    Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao...
  18. Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  19. Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

    Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda...
  20. G

    Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…