Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema vifo vya wajawazito Tanzania vimepungua hadi 75 kwa kila vizazi hai 100,000, kutoka 104 vilivyorekodiwa mwaka 2022, hatua inayoonesha maendeleo katika kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.
Akizungumza leo, Jumatatu, Novemba 23, 2026, jijini...