waitara

  1. Mbunge Waitara Aambiwa Asiandikie Mate Wakati Wino Upo: Atakiwa Kuwasilisha Muswada Bungeni Kuharamisha Kisheria Nyumba Ntobhu, Unzinzi na Uasherati

    Baada ya kuonekana ni kiranja wa kupinga utamaduni wa kishoga kuanzia bungeni hadi misibani, sasa wananchi wameamua kumpa mwongozo rasmi Mbunge Waitara. Hawataki aandikie Mate Wakati Wino Upo. Wanataka asafishe "nyumba yake huko mkoani Mara" sambamba na kazi ya usafi wa "nyumba" baki zenye...
  2. Kwa hiyo Waitara, uko seriously bungeni kuna wabunge *******, wanaotokana na chama cha mapinduzi? Hahahaha wabunge wanapakuliwaaaaa!

    Lingekuwa bunge la vyama vingi ningeumia ila mpo pekee yenu sasa jamani ccm kuna michokoooo?imeingia mpaka bungeni?
  3. Mwita Waitara: Ongezeko la gharama za ujenzi wa uwanja wa Arusha kutoka Sh bilioni 187 hadi Sh bilioni 338, Msigwa alipaswa kuwa jela

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, pamoja na wengine waliohusika katika mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa Arusha, walipaswa kuchukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo kufungwa jela. Akichangia mjadala wa Bunge...
  4. K

    MWITA WAITARA: SERIKALI ILITOA KIBALI CHA MKUTANO WA MASHOGA?

    Mbunge Mwita waitara ahoji
  5. R

    Waitara: Nimeona kwenye mitandao sherehe za wasagaji, Je, serikali ilitoa kibali sherehe ifanyike Dar es Salaam?

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameibua swali bungeni leo Novemba 2, 2026, akitaka kujua kama serikali ilitoa kibali cha kufanyika kwa sherehe za wasagaji zilizoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii jijini Dar es Salaam, na ni hatua gani zinachukuliwa kudhibiti tabia hizo...
  6. M

    Mahakama ya Rufaa yatengua Hukumu ya Eliakim Maswi Dhidi ya Mwita Waitara na Mara TV

    Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
  7. Mbunge Waitara amwaga cheche: amtaka Simai kutaja aliyemtuma kwa kauli yake ya "Yuda"

    Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono. Kwa kauli za waZanzibari, wengine mawaziri , za hivi karibuni, sasa Bunge limewaka. Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanzibar, Simai aliyetoa matamshi kuwa kuna Msaliti Yuda ndani ya Serikali ya Samia, mbunge Waitara amemuonya...
  8. Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, lakini Naibu wake anasema wanaopinga rushwa kwasababu hawapo jikoni

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  9. Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, Waziri wake anasema “Wanaopinga rushwa hawajakaa jikoni”

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  10. Waitara: Anayesema kuna Yuda kwenye Serikali, amtaje, Simai humu ndani, atoke, hatuwezi kuonekana Watu wa ovyo... akome, kabisa!

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, amependekeza Mbunge wa Baraza la Uwakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said aondolewe Bungeni, huku akimtaka amtaje mtu aliyemtuhumu kuwa ni 'yuda'. Soma: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
  11. Mwita Waitara: Tunyonge watu wanaoiba fedha za Watanzania

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kuweka sheria kali kwa wabadhirifu wa fedha za umma ikiwemo kuwanyonga mpaka kufa ili kudumisha nidhamu. Ametoa ushauri huo Bungeni, wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha...
  12. R

    Waitara: Wabunge tunapata huduma ya bima lakini wazazi wetu hawajajumuishwa, inaleta taharuki katika familia

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amehoji sababu za wazazi wa wabunge kutojumuishwa katika huduma za bima ya afya wanazopata wabunge, huku akielezea changamoto kubwa wanazopata familia nyingi wakati wazazi wanapougua. Akizungumza bungeni leo Mei 12, 2026, Waitara ameeleza kuwa utaratibu...
  13. R

    PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

    Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  15. 4

    Yeriko Nyerere umeamua kua msaliti ndani ya chama chako cha awali ambacho kimekufanya kuwa pale ulipo, jitafakari sana

    Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake. Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere. 1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
  16. M

    Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

    Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo ni; 1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
  17. M

    Mwita Waitara ayatimba, yeye na wenzake watakiwa kumlipa Eliakim Chacha Maswi Tsh bilioni sita kwa kumdhalilisha

    Mwita Waitara(kushoto) akiwa na Eliakim Maswi Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakim Chacha Maswi alifungua kesi dhidi ya Waitara baada ya Waitara kumdharirisha kuwa wakati alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Manunuzi PPRA alikuwa pale kwa ajili ya kuiba. Ndugu Maswi alimpa...
  18. Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  19. Wana Tarime waja na Operatio Tokomeza Waitara Tarime (TOWATA)

    Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake. Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani. Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani ya chama chake asigombee tena ubunge. kwa ushauri huyu pamoja na Gambo watafute kazi nyingine za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…