waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. K

    DW News : Utafiti unaonyesha kuwa idadi ya Waislamu itazidi idadi ya Wakristo duniani ifikapo mwaka 2035

    Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo. Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
  2. K

    PEW Research Center: Kati ya mwaka 2020 na 2070, idadi ya Waislamu duniani inatarajiwa kuongezeka zaidi kuliko makundi mengine yote ya kidini kwa pamo

    Mustakabali wa Idadi ya Waislamu Duniani Kati ya mwaka 2020 na 2070, idadi ya Waislamu duniani inatarajiwa kuongezeka zaidi kuliko makundi mengine yote ya kidini kwa pamoja Barua Tuongeze Kwenye Google KwaConrad Hackett,Marcin Stonawski,Yunping Tong,Stephanie Kramer,Rebecca LeppertnaJeff...
  3. U

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Isaka Mwana wa Ibrahim na Yakobo Mwana wa Isaka wote walikuwa Waislamu Ndugu zangu wakiristo tubadilike
  4. F

    Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

    Nimeuliza hili swali, Naomba kujibiwa.
  5. Waislamu wanafurahia wengi na ndio wanatumiwa na CCM kama kinga.

    Hizi ID zinaficha mengi ila waislamu wametumiwa kama kinga ya CCM na hususani Tanganyika ila kama mtakataa kuna mapendekezo samia kubaki mpaka kufa kwake. Maana yake kutoweza kushtakiwa wala kufungwa kama alivyo Museveni.
  6. R

    Maajabu: 80% ya wakimbizi duniani ni Waislamu, lakini hawaendi nchi za kiislamu ambazo ni 50 duniani! Kwanini?

    Hizi ni takwimu kutoka mtandaoni. Siwezi kuhakikisha ukweli wake, but all in all wengi wako Western World. Kwanini hawaendi kwa wenzao wanakwenda kwa " makafiri"? Ilham Omar ni mbunge Marekani, why not Pakistan Afghanistan and the like? kwanini alikimbikia kwa makafiri?
  7. M

    Ushauri wa Waislamu waliopo club ya Simba

    Sidhani malumbano ya Mangngu na Dewji watakusaidieni. Tuache kupoteza muda ktk kutumia nguvu, akili na muda mwingi kujadili malumbano. Tuutumie muda wetu katika kuitafuta akhera yetu badala kutumia muda kulumbana ktk vitu ambavyo ukifumba jicho havikusaidii kitu. Nawashauri tuachane na haya...
  8. Hivi waislamu wana kinga dhidi ya majanga?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu...
  9. Naswali kwa waislam🤪

    Sasa naswali .... Hivi hawa waislam wetu wao wanaongeza wake wengi ila ukiangalia wahindi wao ni mke mmoja tu na niwaislam na ndio maana wanafanikiwa . ila sasa hawa watanzania yaani mtu yupo chumba kimoja . Anawake 3 na watoto kumi . Hana hela ya matumizi yanayoeleweka . Na bado anaongeza mke...
  10. Wakristo wameamua kuilinda Makah ili isishambuliwe na Waislamu wa Houth , Ukristo ni upendo!

    Naandika kutoka moyoni kwa kuwa naujua vema Ukristo ni dini ya upendo na huruma kwa wote haina ubaguzi, ukiachana na pale Kiev ambapo Wakristo wanalinda mauaji kutoka kwa waliokengeuka leo Ufaransa na Uingereza wameamua kuungana Wamarekani [Wakristo] kulinda mji mtakatifu wa Kiislamu wa makha...
  11. Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

    Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu. Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%. Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko...
  12. M

    Waislamu wa sasa vitu 2 tunafeli sana

    1. Mpira 2. Uchawa Mpira Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa 2. Uchawa Utamkuta muislam anasema maneno ambayo anajua ni kosa ktk dini Kwa mfano utamsikia kijana...
  13. Kuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu wana haki sawa na Waislamu?

    Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa. Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
  14. Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Hawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
  15. S

    Naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu, au kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?

    Kuna mtu kanichanganya hapa, naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu? Kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?
  16. Nini kinawafanya Waislamu waamini dini yao ndio sahihi na sio Ukristo?

    Nini kinawafanya Wakristo waamini dini yao ndio sahihi na sio Uislamu au dini nyingine?
  17. L

    Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

    Ndugu zangu Watanzania, Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda...
  18. J

    Kati ya Waislamu na Wakristo ni Wapi Wanaongoza kuwachokoza/Kuwatesa wenzao?

    Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat kake eti akaswalie ndani ya Vayican. Hebu fikiri mkiristo alajaribu kufanya Ibada ya Kikiristo pale...
  19. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  20. Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

    Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake. Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda. Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…