wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi ya sasa ni Chombo kukandamiza raia

    Mtu anayeshabikia watu kuonewa na vyombo vya dola anaweza kuitwa kwa maneno mbalimbali kulingana na muktadha na nia yake. Hapa ni baadhi ya maelezo au majina yanayoweza kumfaa mtu wa aina hiyo: 1. Mnyanyasaji kwa hiari (sympathizer wa ukandamizaji) Huyu ni mtu anayefurahia au kuunga mkono...
  2. Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

    Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
  3. H

    CRDB Waliwadanganya Wateja Kuwa Wanaboresha Mifumo, Kumbe Wahuni Walikuwa Wanaharibu Mifumo

    Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara walipoanza, huduma za kibenki, kwa siku 4 mfululizo zikawa ama hazipatikani kabisa, au zikipatikana nusunusu...
  4. S

    GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  5. Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  6. Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  7. Kwa Nini Magufuli hakukata roho mbele ya mkewe au mwanae akakata mkononi mwa Hawa? Ni wahuni TU mtanijibu!

    Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo KIMSINGI kifo chake it was a planted mission Ambayo Mabeyo, Sirro na wenzake watajibu mbele ya...
  8. R

    Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release............... Nawashauri muwe na alternative source of electricity
  9. B

    Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
  10. Huwezi kutumia njia za kihuni kukataa wahuni

    Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu. NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
  11. Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  12. Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  13. Z

    Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  14. H

    Wahuni Wameteka Kila Kitu, Wananchi Waende Wapi?

    Mpaka sasa, kama alivyosema Polepole, wahuni wamefanikiwa kuteka kila kitu: 1. Wahuni wameteka dola, ndiyo maana tunaona hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kikishughulika na kuwakamata wanaoteka na kuua wananchi. Badala yake, dola inafanya kila namna kuwalinda watekaji, wauaji na...
  15. Biashara ya Carbon wahuni wamepiga zaidi ya 2.1T

    Wahuni wamepiga zaidi ya Trillion 1.2 kwenye biasahara ya Carbon hiyo ni kwa mwaka mmoja na nusu pekee. Wamasai hawakuwa wanahamishwa bure bure.
  16. Z

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  17. Nyie wahuni wa KM Mombasa laana inawatafuta. Tushawajua wote ingawa mlivaa musk

    Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
  18. Z

    Genge la wahuni wa CHADEMA masalia bado wanaendelea kuota

    Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu...
  19. C

    Wahuni: They have done so much demage. Taifa limefubaa

    Igwe Watanzania. Si vita kwa sababu, hao wanaoitwa "wahuni" walishashinda kitambo sana. Madhara waliyowisha kusababisha kwa nchi, hayawezi kurekebishika hata upewe miaka 10. Wamejikusanyia mafedha kutoka deals za nchi yetu, wameshika vyombo vya dollar, wameweka watu wao kwenye vyombo vya...
  20. B

    List ya wanamtandao "wahuni" wanaotikisa nchi ile ya ahadi..........

    Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya taifa 8. Bashiaae 9. Mauzi au mathread(Junior) Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…