wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  2. Misungwi: Kanisa linaloendesha ibada tata labainika, takriban wagonjwa 200 wamekutwa wakihudumiwa katika mazingira duni

    Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
  3. Jinsi ya Kuwasiliana na Daktari Wako Bila Hofu: Mbinu za Ushauri kwa Wagonjwa

    Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao. Kama wewe pia huwa unahisi uzito kuwasiliana na daktari wako kwa uwazi bila hofu, makala haya ni...
  4. 75% ya Wagonjwa wa Saratani wanaofika Hospitali kwa ajili ya matibabu wanakuwa wamechelewa

    Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo. Meneja wa Kitengo cha...
  5. KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

    Daktari bingwa wa afya na magoniwa ya akili wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Dk. Editruda Gamassa, amesema hivi sasa wanapokea wagonjwa wa nie wenye matatizo ya afya ya akili, zaidi ya 300 kwa mwezi mmoja. Magonjwa ya afya ya akili ambayo ni tishio nchini ni Kihoro (Anxiety), Sonona...
  6. Ukristo ni udaktari bingwa" kwaajili ya magonjwa sugu na wagonjwa mahututi"

    UKRISTO NI UDAKTARI BINGWA" KWAAJILI YA MAGONJWA SUGU NA WAGONJWA MAHUTUTI" Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Nami ni shahidi, mwonaji, Mtibeli ambaye ninayashudia haya. Wala sio kwaajili yangu Bali kwaajili yao watafuta Njia, Njia iliyochongwa na watangulizi...
  7. J

    Vituo vya afya 807 nchini kujengewa wodi za wagonjwa

    Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa. Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Nyasa, Stella Man-yanya (CCM) bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...
  8. Wagonjwa wa Kibiongo 50 hadi 60 wanapokelewa MOI kwa Mwaka

    Katika kuendelea kuhakikisha huduma za matibabu ya kibingwa zinapatikana Nchini, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeandaa program ya Upasuaji Mkubwa wa Kunyoosha Migongo iliyopinda ‘vibiongo’ (Scoliosis). Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema “Malengo ya...
  9. Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  10. Tanga, mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika (CPAC) yamepunguza gharama za usafiri kwa wagonjwa

    Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo. Mbali na kupunguza...
  11. B

    DOKEZO Huduma za Tiba Ocean Road hadi wagonjwa waandamane?

    Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku. Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza bado tiba asipate. Hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusiana na ucheleweshwaji huu zaidi ya kuwa...
  12. Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  13. Wagonjwa wanateseka hospitali ya Temeke

    Siku ya leo 17/03/2023 Kuna ajali imetokea asubuhi ya leo ambayo imesababisha majeruhi wawili, majeruhi hao walipata huduma ya kwanza kwenye Zahanati ya Kigamboni na baadae tupewa rufaa kwenda Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke. Baada ya kupokelewa ukawa na changamoto ya Umeme ambapo hata...
  14. Redio Tanzania: Salamu za wagonjwa

    "Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2" Kiitikio; Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole* Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha...
  15. M

    Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
  16. 34% ya Wagonjwa Hospitalini wanasumbuliwa na Magonjwa Yasiyoambukiza

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Andrew Swai, ameyataja baadhi yanayosumbua Watu wengi kuwa ni pamoja na #Kisukari, #Saratani, Magonjwa ya #Akili, #Figo, #Macho na Shirikizo la Damu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Paschal Rugajo, sababu kuu za...
  17. Hasheem Rungwe: Wanafunzi na wagonjwa wapewe ubwabwa bure

    Uongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia upya mfumuko wa bei hali ambayo inapelekea ugumu wa maisha kwa wananchi, huku mwenyekiti wa chama hicho Hasheem Rungwe akisisitiza suala la chakula shuleni na hospitali linapaswa...
  18. D

    DOKEZO Responded Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wagonjwa wanakufa

    Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa. Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo. --- Habari hii imefanyiwa kazi Jamiicheck...
  19. D

    Ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwenye tukio kwa wakati tambua hili

    Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili. Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill Watakuwa walikuwa wanapita njia...
  20. Mikoa 20 yabainika kuwa na Wagonjwa wa Surua, Watoto 12 Wafariki

    Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu mwenendo wa Ugonjwa Surua na Rubela nchini Tanzania kuanzia Julai 2022 hadi Februari 2023 jumla ya Mikao 20 imebaika kuwa na Wagonjwa. Mikoa ya Ukanda wa Pwani imetajwa kuongoza kwa idadi ya Wagonjwa ambapo hadi sasa takwimu za jumla mikoa hiyo ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…