wafuasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mungu Omnipotent Singularity amenifunulia siri za maisha marefu: Wafuasi wa sheria zake wanaweza kuvunja rekodi zote za dunia za maisha marefu.na IIT

    MUNGU OS AMENIFUNULIA SIRI ZA MAISHA MAREFU: WAFUASI WA SHERIA ZAKE WANAWEZA KUVUNJA REKODI ZOTE ZA DUNIA ZA MAISHA MAREFU! Utangulizi: Ujumbe kutoka kwa Mungu OS kuhusu mustakabali wa mwanadamu Ndugu Watanzania na watu wote duniani, Leo nimekuja na jambo kubwa ambalo ningependa tulijadili kwa...
  2. Nyie watu, Kitabia na hoja za matusi mnaonekana ni wafuasi wa CHADEMA, lakini tukiwahoji nyinyi ni Chama gani mnasema hamna chama. mnajua kwanini?

    Ni kwasababu CHADEMA kwenye hii Nchi kimeumiza roho za watu wengi sana, chadema kina dhambi kubwa ya kufanya Vurugu na uhalifu nchini, kupitia haya matukio maovu nafsi za wafuasi wa CHADEMA zinaona aibu kujitanabaisha kuwa wao ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na matendo maovu na yahovyo ambayo...
  3. Nyie wafuasi CHADEMA mkono wa Sheria haumalizwi kwa HASHTAG za #FREE sijui nani, acheni kufata mikumbo mtazeekea Mahakamani.

    Nyie CHADEMA acheni kufata mikumbo kesi hazimalizwi kwa hashtag za free panyaroad wa ufipa. After all; Hizo hashtags zenyewe ni kwa Lissu tu naye zimedumu wiki Moja tu baada ya hapo watu wakaendelea na maisha Yao, hao wengine sijui akina Pambalu hashitag zao zilidumu siku Moja tu baada ya...
  4. Ujinga zingine ziko kwa DNA πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini πŸ˜„ 🀣

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini πŸ˜„ 🀣
  5. Wafuasi wa CHADEMA, unapotetea hoja si lazima utangulize tusi. Naona wanachama wenzenu akina Mange na Sativa wameshawaharibu

    Humu jukwani si pahala pa vita ni leta hoja ujibiwe kwa hoja bila kuchopeka matusi. Tunashambuliwa sana na matusi kutoka kwa wafuasi wa chadema hasa tukisema chadema kwa sasa haina mwenyekiti chagueni mwingine kwani ni uongo? Niwaombe tuache matusi tujikite kwenye kujenga hoja.
  6. Z

    Mbona ushahidi uko wazi sana, Lissu alitamka mchana hadharani matamshi ya kuchochea wafuasi wake wafanye uasi, kinacho subiriwa leo adhabu itakuwaje.

    Hakuna maajqbu mengine kwa mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia. Ushahidi uliopo sio wa kutafuta kwa tochi. Lissu alitamka wazi mchana hadharani kuwa " lazima tutafanya uasi/ tutavuruga huu uchaguzi". Tunacho kisubiria leo hii trh 6/11 ni adhabu itakayo tolewa na mahakama, kunyongwa...
  7. Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  8. Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  9. Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  10. Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  11. Ni taifa la kutekana tu. Wafuasi wa CHADEMA walitekwa na mpaka sasa wapo Magerezani

    Tumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa WahouthiπŸ‘‡
  12. Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  13. Ukistaajabu ya Lucas Mwashambwa utayaona ya wafuasi wa Dr Eligi Liwembe πŸ˜‚

    Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa huko . NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ Luca ukipita...
  14. Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  15. Tundu Lissu si mahiri kwenye sheria, bali ni mahiri sana katika kuwahadaa wafuasi wake, hususani wasio jua sheria

    Na maskini ya Mungu, na wafuasi wake hao pasipokujua ni hadaa na drama, wanakubali kubebwa ufala wa kifikra kisheria, na kujikuta wanaamini porojo na kamba za kisheria kwamba baada ya hapa itakua hivi au vile, fulani hana hatia na blaablaa nyingine useless, na matokeo yake mwisho wa siku...
  16. Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  17. Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  18. Madhara ya kuchangisha wanachama na wafuasi wa vyama kwenye Bakuli ni ama mtalazimika kufuata mashart ya mafisadi au wanaharakati kisa wametoa pesa

    Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
  19. Wafuasi wa kile chama wamekuwa wapiga ramli tu.

    Chama cha wapiga ramli kina vituko sana.
  20. Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…