wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu sita wafariki dunia baada ya ndege kuanguka Kisiwa cha Horn Marekani

    Watu sita wamefariki dunia baada ya ndege kuanguka katika eneo la bahari karibu na Kisiwa cha Horn, Mississippi, kwa mujibu wa Jeshi la Walinzi wa Pwani la Marekani (U.S. Coast Guard). Mwandishi wa ABC News, Perry Russom, anaripoti taarifa za hivi punde huku uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo...
  2. C

    Kigoma: Watu 41 wamefariki katika ajali ya boti ziwa Tanganyika

    Takriban watu 41 wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiri kutoka Kigoma, Tanzania, kuelekea Kalemie katika Mkoa wa Tanganyika, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kupinduka katika Ziwa Tanganyika siku ya Alhamisi. Waziri wa Uchukuzi wa Mkoa wa Tanganyika, Norris Mulongoyi...
  3. Kenya: Watu wanne wafariki baada ya ukuta kuporomoka

    Watu wanne wamethibitishwa kufariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya ukuta wa kuzuia udongo uliokuwa ukijengwa kuporomoka na kuwafunika wafanyakazi katika barabara ya Riverside, jijini Nairobi nchini Kenya, Jumamosi asubuhi. Tukio hilo limetokea karibu na jengo la Grand Residence wakati...
  4. O

    Watahiniwa Watatu wa KCSE Wafariki Huku Mitihani Ikiendelea, Waziri Ogamba Athibitisha

    Wizara ya Elimu nchini Kenya imethibitisha vifo vya wanafunzi watatu waliokuwa wamejiandikisha kufanya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka 2026, huku wawili wakifariki kutokana na maradhi na mwingine akidaiwa kuuawa nyumbani kwao. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, Novemba 4...
  5. Watu wa 3 wafariki Mtwara ajali ya lori na bajaj

    Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori, bajaj na pikipiki, iliyotokea leo, Novemba 3, 2026, majira ya saa tatu asubuhi eneo la Magomeni Kanisani, Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Mkoani Mtwara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Kamishna Msaidizi...
  6. M

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  7. Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  8. I

    Asubuhi ya Majonzi Kenya - Watu 17 Wafariki Katika Ajali Salama Blackspot

    Watu 17 wamefariki katika ajali mbaya iliyohusisha magari kadhaa eneo la Mlima Kiu, Salama, kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa, Kaunti ya Makueni, mapema Jumamosi, Oktoba 3, 2026. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku, wakati lori lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea...
  9. T

    Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo. Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
  10. O

    Likizo Yageuka Msiba: MCA Aspirant Ken Barasa na Dada Yake Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Mombasa

    Safari ya starehe katika pwani ya Mombasa imegeuka msiba baada ya Ken Barasa Okomol na dada yake Cynthia Barasa kufariki wakati boti waliyokuwa wakisafiria ilipopinduka baharini. Ken, 38, aliripotiwa kuwa mwaniaji wa kiti cha MCA Malaba South, Busia, huku Cynthia akiwa na miaka 33. Wawili hao...
  11. O

    Mpox yafikia Kaunti 40, Watu 19 wafariki, huku Kenya ikijiandaa na tishio jingine la Ebola

    Kenya sasa imerekodi visa 1,298 vya Mpox na vifo 19 katika counties 40, huku serikali ikiongeza maandalizi dhidi ya Ebola kutokana na kuendelea kwa mlipuko huo katika ukanda wa Afrika. Takwimu za Ministry of Health zinaonyesha Mombasa ndiyo inaongoza kwa visa 452, ikifuatiwa na Nairobi yenye...
  12. Basi la Abood lagongana na IST wakati dereva 'aki-overtake', Watu wanne wafariki Dunia

    TAARIFA KWA UMMA AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju Sokoni Kinondoni Dar es Salaam basi lenye namba T 235 EMJ aina ya Yutong mali ya Kampuni ya Abood...
  13. Dampo la taka laporomoka, 30 wafariki

    Takribani watu 30 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa baada ya mlima wa taka kuporomoka na kuangukia nyumba zilizokuwa karibu katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, kufuatia mvua kubwa kunyesha. Tukio hilo limetokea majira ya saa nane usiku katika eneo la Dar es Salaam jijini Conakry...
  14. K

    Watu 52 Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Nigeria

    Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 52. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Gorau katika Jimbo la Sokoto baada ya boti hiyo kupinduka ikiwa njiani kuelekea kwenye mashamba ya mpunga. Wengi wa waathiriwa wanaripotiwa kuwa...
  15. O

    TANZIA Safari Yageuka Msiba: Watalii Sita na Rubani Wafariki Samburu

    Safari iliyotarajiwa kuwa ya kufurahia mandhari ya kaskazini mwa Kenya imegeuka kuwa janga baada ya watu saba, watalii sita na rubani, kufariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu County. Ajali hiyo ilitokea Jumatano, Agosti 19, 2026, majira ya saa 9:13 asubuhi...
  16. Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  17. O

    Homa Bay yatikiswa na ghasia: Watu wawili wafariki, Polisi 7 wajeruhiwa, na watu 22 wakamatwa

    Homa Bay imekumbwa na ghasia wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi, zilizosababisha vifo vya watu wawili, wakiwemo polisi, na kujeruhiwa kwa maafisa saba wa polisi. Mmoja wa waliofariki ni afisa wa polisi aliyekuwa akirejea kituoni baada ya kushiriki katika kuimarisha usalama wa...
  18. O

    Kisumu Church Drama: Alleged Hired Goons Fail to Disrupt Service as Tension Grips Worshippers

    Tension ilitanda Kisumu baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa hired goons kujaribu kuvuruga church service iliyohudhuriwa na Siaya Governor James Orengo pamoja na Nairobi Senator Edwin Sifuna. Kwa mujibu wa video zinazosambaa mtandaoni, kundi hilo halikufanikiwa kuingia ndani ya kanisa baada ya...
  19. TANZIA Askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Mbeya wafariki katika ajali ya gari

    Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kwenye Barabara Kuu ya Mbeya—Tunduma. Ajali hiyo ilihusisha gari la Mitsubishi Canter Boxbody la SGA...
  20. Ndege yaanguka Kenya, wote waliokuwamo wafariki

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) imethibitisha kuwa ndege ndogo iliyokuwa ikisafiri kutoka Diani kwenda Kichwa Tembo imeanguka katika Kaunti ya Kwale. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile N. Arao, ya leo Oktoba 28, 2025, imesema ndege hiyo yenye namba za usajili 5Y-CCA, iliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…