wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

    SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025. Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
  2. BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  3. H

    Wadau wakutana kujadili suala la ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar, Juni 12, 2025 Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar) kimeandaa kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha wadau kutoka taasisi 15 zisizo za kiserikali...
  4. S

    Wadau nataka kujiua

    Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill. Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
  5. UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  6. Wadau haya ni madini gani?

    Wajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
  7. DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  8. Wadau Hii CV ya Mbunge mnaionaje

    Huyu Mbunge aliyeita watu ni Kenge kumbe katumia miaka 27 kupata Diploma. Ila nadhani hakuna Bunge duniani lina vilaza kama hili.
  9. Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  10. Hii ni spesho kwa wadau wenye kutafakari mambo kwa hekima

    Nadhani watu wanao utafuta ukweli ndani mioyo yao,nafsi. Wewe ulifanya meditation kwamda mrefu bila kuona maana ya meditation. Nimekuletea zawadi ya MAGIC mushrooms. Mkoani utatumiwa na ikiwa upo dar es salaam UTAKUJAMOJA KWA MOJA OFSINI.
  11. Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda

    Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda
  12. S

    PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

    Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio...
  13. B

    Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  14. Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  15. Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

    Kuna wanaosema iliamriwa ziwe 5 tu. Lakini kuna wanaosema ni 3 tu hasa kama umelipia kila kitu wewe na bado utamlipa mhusika huna sababu ya kujichosha. Nimeongea na dogo mmoja yeye anasema kwa mishangazi ni dk zisizopungua 30. Sababu analishwa, ananyweshwa hivyo anatumikia hayo malipo...
  16. Msaada kwa haraka wadau. Kama sijatumia KIPAPIRO kwa week je Gobole linaongezeka ukubwa?

    Nina week sijala Kipapiro je inaweza saidia kukuza gobole? Je nikikaa mwezi litakua zaidi? Au niendelee tu kuchakata vipapiro? Nimeuliza hivi kutokana na kuwa nimekuwa tight hii week nchi ya ugenini huku Morocco. Sijafanikiwa pata kipapiro. Naona kama gobole limeongezeka. Na sijacheza pool...
  17. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  18. Hivi kutongoza msibani kwenye maombolezo inaruhusiwa?

    Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen? Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  19. Wadau naomba kuifahamu zaidi wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi

    Salaam: Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola. Naomba kujua taarifa zifuatazo. 1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo 2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko. Yaani madini ya gram,na ya matani. 3...
  20. Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…