wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba ufafanuzi juu ya hali hii

    Kuna hali hua inanitokea mara moja moja ninapokua nashuka kwenye gari nikishika mlango nakua nahis kama nimepigwa short hivi,s0me times hata nikishika kitu chenye asili ya bati. Je, hii inaweza kua tatizo gan? NB gari haina short yoyote hilo nina uhakika. Pia situmii gar moja kila gar...
  2. Wadau wa Masterbation....!! Mmeelewa?

    Nawasalimu kwa jina la JF, Hili chapisho lilitolewa mwaka 1875 huko New York katika jarida la mambo ya afya ya uzazi, likionyesha kijana mpiga nyeto anavyoathirika na asiyepiga nyeto. Halikadhalika mtu mzima mpiga nyeto alivyoathirika na asiyepiga nyeto!! Kumbe kuna uzee unaotokana na kupiga...
  3. Waziri Mwigulu na wachumi wenzako mnalihujumu taifa, rudini mezani

    Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za...
  4. Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  5. Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
  6. TCRA Taasisi ya umma inayowakandamiza wadau wake kwa makusudi

    Kwanza nianze kwa kuliweka wazi, namfahamu jamaa yangu wa karibu aliyewekeza kwenye FM Radio. Ni bora Mama Samia naye kalizungumzia tatizo la FEES a TCRA , tozo ambazo ni za juu mno bila sababu yoyote. FEES za mwaka ni Dola $3,070 (na zaidi ya hapo kwa leseni ya kanda au Taifa) na ukichelewa...
  7. K

    RFA kulikoni hawako hewani mikoa ya Nyanda za Juu Kusini karibia wiki sasa

    Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!!
  8. M

    Ndugu zangu wadau, hivi ni kwa nini viwanda vyetu havidumu licha ya kuwa na soko la uhakika?

    Kulikuwa na kiwanda Cha mafuta ya kupikia mazuri sana, VOIL, Tanbond, Mafuta ya karanga, kiwanda Cha mbolea Tanga, kanga nzuri sana za urafiki, nk
  9. N

    Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

    Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
  10. N

    wadau wa Uzbekistan wamtetea Mtanzania Salim Mtango wadai kaonewa chupa zarushwa ulingoni

    Jana ilikuwa ni pambano huko Uzbeki kati ya Salim Mtango vs ShohJahon Ergashev ni kituko kijana watu kapigwa ngumi moja kayumba kidogo lakini hajaanguka, refa kavunja pambano kwamba ni knockout hata hajamuhesabia hadi kumi. kijana kajaribu kupinga uamuzi ukabaki palepale ila ziliztokea vurugu...
  11. Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  12. Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

    Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
  13. Nina ujuzi wa kompyuta na simu, naombeni connections

    Me ni mpya naombeni connections Nina ujuzi wa computer na simu pia nna kichwa chepesi naweza fany kazi tofauti.0744801713
  14. M

    Jamani niko mitaa ya Korogwe, Same na Moshi mwezi na ila treni siioni wadau mna taarifa zozote?

    Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni". Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
  15. Z

    Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

    Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio...
  16. E

    Naomba kujua vigezo vya kuanzisha agrovet

    biashara ya duka la pembejeo ili kuanza lazma uwe na vigezo gani na mtaji wa shingapi wa chini kabsa pamoja na faida zake kwa yeyote mwenye ufahamu na hili naomba kujua kutoka kwako
  17. Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

    Habari wanabodi! Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki. Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna...
  18. Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

    Hayawi hayawi huwa. Leo ndio siku ya kuzinduwa mradi wetu tukufu wa Lamu port. Wivu batallion mpo wapi? Kujeni mumwage povu tutapanguza.
  19. AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

    Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz. Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
  20. Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…