wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nape ashauri TCRA iunde kanuni ya kusimamia na kukuza maudhui ya ndani

    Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
  2. N

    Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  3. M

    Wadau wa trekta, Mahindra vipi?

    Habari, wadau nnaomba kuwasilisha hapa jukwaani, kuna aina mbalimbali za trekta hapa bongo, nimeona watu wanazungumzia sana Holland, Ford, Sonalika, Swaraj na mengineyo lakini sijaona sehemu wanayozungumzia Mahindra wakati nikiangalia kwenye mitandao wanasema ndo ya kwanza kwa mauzo. Maswali...
  4. B

    Tozo: Wadau Walalamika na Serikali kukosa usikivu

    Mjadala mkali kabisa ktk kituo cha televisheni cha ITV Tanzania ====== Katika mjadala mpana na wa wazi wadau waonesha wasiwasi kuhusu serikali kutochukua hatua za haraka kupata ufumbuzi wa kusitisha tozo inayolenga chanzo kimoja tu cha mapato kukatwa mara kadhaa. Mfano mishahara ipitayo...
  5. Hii biashara ya makorokoro imekaaje wadau?

    Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
  6. H

    Wadau wa football tujadili kidogo

    Nini maoni yako wewe?
  7. J

    TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati

    TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati, kilichofanyika Mkoani Tabora, katika ukumbi wa Isike...
  8. Karia ni mbaguzi wa wadau wa mpira

    Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote. Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa...
  9. Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  10. M

    Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  11. K

    wadau naomba maneno ya wimbo " WAMTETEA BURE" wa KIKO KIDS mtunzi SALUM ZAHORO

    wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
  12. Hivi Huu Wimbo Unaitwaje Wadau ni Old is Gold

    Wadau heshima kwenu, naomba kujua jina la huu wimbo Unaitwaje. Nimejaribu kuimba melody yake unavyoenda natumai ukiuskia kama unaujua utaufahamu tu. Naomba mnisaidie jina lake tafadhali. Thanks a lot...!
  13. Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

    Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi . Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ? Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
  14. Mech ya Simba day inaanza saa ngap WADAU??

    Mweny taarifa anpe ili nijiandae kushuhudia vyuma vipya vinanolewa
  15. Wadau wakubeti

    Wadau Kama mnavyojua ligi mbalimbali zimeanza na Kama kawaida yetu wazee wakubeti niwakati wetu wakumpiga mhindi. Sasa nahitaji kampuni ambalo Lina mabonasi kibao na maods makubwa nimepita huko Google nimeona wanaelezea Parmatch sijui Kama nikweli em pitien mniambie >>>...
  16. A

    Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  17. M

    Nimeunga mita mpya ya maji lakini inaonesha nimetumia unit 2

    Jana nimefunga mita ya maji yaani maunganisho mapya kwa mara ya kwanza. Cha ajabu na cha kushangaza mita inaonesha nimetumia unit mbili. Sasa nikamuuliza fundi kuwa hizo unit 2 zimetokea wapi wakati mita ni mpya..Akanijibu kuwa hizo unit 2 ni yale maji yaliyokuwa yanamwagika wakati wanatest...
  18. N

    Wadau mnazijua Dalili za mwanamke ambaye hakupendi?

    Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya wataalamu wa Mambo wameainisha Dalili za mwanamke asiyekupenda Kama hizi 1. Nivigumu kukutambulisha...
  19. N

    Kuna uwezekano na fahari yoyote kuto katika 50s?

    Mada hapo juu yahusika. Upo kwenye 40s, hakuna nyumba, hakuna gari, hakuna shamba lililosimama, miradi imeanguka. Ukiangalia salary slip, viraka kibao mpaka haishoneki tena, taasisi zinakimbizana kuchuma. Mpaka kiraka cha mwisho kinatoka ni miaka kama 6 hivi mbele na hapo, kama kila kitu...
  20. B

    Ridhiwani akagua ujenzi wa Hospitali Chalinze ambayo inazidi kumulikwa na Serikali. Wadau wamuunga mkono

    RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…