wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wachezaji wetu kucheza ligi moja na Pacome, Mpanzu, Diara ni bahati kwao, tumieni ujuzi wao kushinda CHAN.

    Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
  2. Je, unazijua vest wanazovaa wachezaji kwa ndani?!

    JE UNAIJUA HII VEST YA CATAPULT? -Kuna vest flani hivi wachezaji wamekua wakizivaa wawapo uwanjani au mazoezini, watu wengi wamekua wakitamani kujua zile ni vest za kazi gani au kwanini huwa zinavaliwa. majibu ni haya hapa. - Zile vest kitaalamu zinaitwa GPS VESTS. Lakini mara nyingi kifuani...
  3. Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

    Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen Hii ni Tasaf au NSSF?
  4. S

    World Footballers Award 2024-25: Karibuni mchague wachezaji na kocha wenu bora wa msimu ulioisha Katika dunia ya mpira.

    Vote for your best player, youngster, goalkeeper and coach. For the 2024-25 World Footballers Award.
  5. Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
  6. A

    Hivi ni kipi kinachofelisha kusiwepo na mchezo wowote unaowakutanisha wachezaji wa jinsia zote kwenye timu moja.

    Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all. Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0) Niseme ukweli wale wanawake ni wachezaji wepesi, wazuri sana na wana kasi pengine kuzidi baadhi ya wanaume..... Yaani...
  7. Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  8. GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  9. Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

    Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
  10. Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  11. Wachezaji Wanaofaa Kuitwa Legends Kwa Vilabu Vitatu Au Zaidi

    "Ni wazo tu lilinijia ghafla. Je, kuna wachezaji wowote waliowahi kuwa legends wa kweli kwenye vilabu vitatu au zaidi? Sizungumzii wale waliochezea timu kubwa tu au kushinda vikombe viwili vitatu, nazungumzia wale walioweka alama halisi, wakakumbukwa na mashabiki, waliotengeneza historia."...
  12. Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  13. Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  14. Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
  15. WAJUZI: Wachezaji Wanavaa au Kufunga nini Mkononi wakati wa Mechi

    Salam sana Wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza hili jambo kwa muda mrefu na kuuliza watu kwamba ina maana gani, nimekosa majibu rasmi na ya...
  16. Z

    Orodha ya Wachezaji wasio na Kiwango cha Kucheza NBC Premier League

    Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu. 1. Ally Salim (Simba) 2. Chamou Karabou (Simba) 3. Che Fondoh Malone (Simba) 4. Lionel Ateba (Simba) 5. Steve Mukwala (Simba) 6. Joshua...
  17. M

    Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  18. Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  19. Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…