waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu mweusi ni agent wa uharibifu, vurugu na unyama.

    Kuwa na akili kuntu yenye manufaa barani africa na maeneo yenye asilimia kubwa ya watu weusi ni tishio kwa jamii. It would be so terryfying to be born as a high IQ African. You can see what is happening around you but you are absolutely powerless to do anything.
  2. Waafrika wazidi kujiunga na jeshi la Russia kupigana vita Ukraine

    Idadi ya Waafrika wanaoingia katika jeshi la Russia na kushiriki vita dhidi ya Ukraine inazidi kuongezeka, huku taarifa mpya zikionesha kuwa maelfu ya raia kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamejiunga na vikosi vya Russia, baadhi yao wakidaiwa kushawishiwa kwa ahadi za ajira zenye mishahara...
  3. Kwa nini Waafrika wengi wanaoishi mijini huwa wanapenda kuzikwa vijijini ?

    Kwa nini Waafrika wengi hasa wasio Waislamu huwa hawazikiwi katika miji waliyokuwa wanaishi ambayo ndio makazi yao ya kudumu badala yake wakifa wanasafirishwa kwenda kuzikwa vijijini au maporini ? Mfano mtu maisha yake yote tangu akiwa na miaka 20 mpaka anafariki na miaka 70 unakuta alikuwa...
  4. Kwanini mila, desturi na tamaduni zetu Waafrika si za kiulimwengu?

    Ukimuuliza muafrika ni kwa nini anao wake wanne atakwambia yeye ni muislam dini yake inamruhusu. Lakini hapo hapo kuna anayeoa mke mmoja anasema yeye ukristo wake unamkataza. Majina yetu, kula yetu na mpaka wakati mwingine kufikiri kwetu kumeathiriwa sana na mila, desturi na tamaduni za watu...
  5. Waafrika tunajidharay sana ila duniani kote hakuna jamii yenye watu wakatili, wasiokuwa na utu na poor reasoning kama waarabu

    Kila sehemu hawa jamaa walipogusa lazima paache alama za ukatili. Ni aina ya watu wasiokumbatia facts bali mihemuko. Wanapenda kuona damu sana kuliko amani ndio maana wako radhi waue muyahudu na mkristo kama sifa hivi Hata baada ya miaka mingi kupita wamebaki kuwa namba moja katika jamii...
  6. Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafiti kwanini ngozi nyeusi lawama zote tunazopewa/tunazojipa katika kufeli kwenye maswala ya kiuongozi/kiuchumi na kujisimamia. Wengi wanasema tumelaaniwa, wengine wanasema hatupo serious, wengine(wazungu na waarabu) wanasema bado tupo kwenye evolution n.k...
  7. Tuwe wakweli Waafrika kwenye hili

    Naomba mnisaidie Majibu ya ukweli ya swali hili ninalojiulizaga kuhusu waafrica na africa kwa ujumla KAMA WAKOLONI WASINGETUTAWALA JE TUNGEKUWA MBALI KIMAFANIKIO (KIUCHUMI,TEKNOLOJIA,n.k)KULIKO HAPA TULIPO??? Swali Hili limezaliwa na Hoja ya waafrica wengi kuwa sisi ni maskini kwa sababu...
  8. K

    Waafrika hatuwezi barikiwa mpaka tutakapo acha unafiki na ubinafsi.

    Habari wadau Leo ngoja nitoe povu kidogo, Mwafrika au mtu mweusi ni mnafiki, mbinafsi nani katili sana. Wakati wa utumwa ni viongozi wakiafrika walishirikiana na wageni yaani wazungu na waarabu kuwakamata na kuwauza wenzao utumwani Leo viongozi hao hao wana shirikiana na wageni kuwakandamiza...
  9. Christianity, siyo rahisi kuishi a Christian life hasa kwa Waafrika!

    Fikiria hii changamoto moja iwe practised kwa "Christians" wa hapa kwetu, kwamba wenye ndoa wanakuwa na akaunt 1 ya benki i.e mke na mume wana akaunti moja ambapo mshahara unaingia kama wote wanafanya kazi basi mishahara yao inaenda akaunti moja kama ni mume pekee ndiyo bread winner basi akaunti...
  10. S

    Je, waafrika hatuna utu?

    Habari zenu Ndugu zangu? Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Mtu anaweza kuwa na uwezo wa kumsaidia mwenzake anayepitia wakati mgumu, lakini akaamua kukaa kimya kana kwamba tatizo hilo halimhusu. Mgonjwa anakosa matibabu, mtoto anakosa mahitaji muhimu, kijana anashindwa kusoma kwa kukosa ada...
  11. Waafrika tunapambana kujionesha bora na kutaka sifa na validatio kutoka kwa watu weupe

    Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe. Sisi waafrika...
  12. Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  13. Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  14. Kuna uwezekano Waafrika wengi wamedumaa akili kwa sababu ya kuugua Malaria utotoni.

    Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo. Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na...
  15. Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  16. Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

    Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri.. Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata, Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders. Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo...
  17. M

    Lets be honest: Watanzania tunaposema elimu ni ufunguo kuna cha ziada nje ya kuitumia kuajiriwa kujenga maisha kwa Mishahara, poshio, Rushwa na dili ?

    wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi. Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
  18. B

    Waafrika turejeee kwenye matambiko yetu ndugu zangu. Tukio la mlinzi wa Morogoro kuua kwa risasi leo limenitafakarisha sana

    Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda msikitini kuswali. Aliporejea akiwa ndani ya gari lake mlinzi akamfuata na kumtaka alipe sh elfu 15 kama...
  19. Waafrika wameanza kuzipuuzia dini za Wazungu na Waarabu

    Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
  20. I

    YA NEPAL, SAYANSI, MUNGU NA AKILI ZETU WAAFRIKA

    Hivi karibuni tumeshuhudia mafuriko ya Nepal yanayofahamika kama flash floods yalivyosomba makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mali, majumba, miundo mbinu na zaidi hasa maisha ya watu wengi kupotea. Katikati ya majanga haya, kuna jengo moja lilibaki likisimama peke yake, likistahimili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…