vyuo

  1. W

    Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  2. Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  3. J

    Vurugu katika Vyuo Vikuu vya USA leo hii, Bw. Walid Shoebat alivibashiri mwaka 2008

    Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008 alielezea Uislamu kuwa si tu kuwa dini hatari bali pia kuwa uislamu ni mfumo wa kisiasa ulio hatari hata...
  4. Aseeee Kuna vyuo vikuu na Vyoo vikuu aseeeee : haloooo

    Dah hatari kweli......!!!!!!!!!!!! Hatari na nusu....
  5. Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  6. Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  7. Watu mliosoma wote kuanzia shule ya msingi, sekondari na vyuo hupotelea wapi?

    Habari za mapambano wakuu, Kuna swali huwa najiuliza sana haswa wiki inapoanza Jumatatu napokuwa naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya 97% siwaoni? Sio kwenye maofisi ya uma na binafsi, usafiri wa umma kama daladala na mwendokasi...
  8. R

    kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  9. Vyuo vya Kati kuna ubabaishaji mwingi, mfano malipo ya ‘Sup’ yamegeuzwa kitega uchumi

    Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anayesoma mojawapo ya chuo cha Kati Ngazi ya Diploma ya Udaktari, moja ya changamoto kubwa katika vyuo hivi ni matumizi mabaya ya malipo yanayofanyika kwa ajili ya kurudia mitihani ambayo Mwanafunzi amefeli. Ukifuatilia katika mamlaka ya NACTE wao maelekezo yao...
  10. Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

    Sikiliza kwa makini mdogo wangu wa chuo kikuu au chuo chochote kile – huu uzi nimeutengeneza specifically kwa ajili yako. Najua huta-like, najua utajisikia vibaya, najua ego yako ya kijinga itachafuka – but I don’t give a f*ck! This is real talk, and if you got a brain, utashtuka! Mnakuja...
  11. T

    Msaada wa Maombi ya vyuo, mikopo,ajira na kadhalika

    Piga au tuma meseji kwa 0623446608 update msaada kama umesahau password na kadhalika
  12. Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  13. Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  14. Hivi wasomi wa serikali akiwemo Kailima walisoma vyuo gani?!

    Katika kujenga hoja yangu naomba nitoe mfano mdogo. Juzi Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitoa tamko la kuifuta Chadema katika uchaguzi. Tume hiyo inaongozwa na wanasheria na wataalamu mbalimbali. Mbali na maelezo ya Dkt. Nshala ambaye ni Chadema, ukisikiliza mawakili mbalimbali waliohojiwa...
  15. Ujinga wetu sasa umepanda mpaka vyuo vikuu

    Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi. Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba...
  16. Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  17. D

    Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  18. N

    DOKEZO Ubaguzi katika baadhi ya vyuo vikuu Tanzania

    Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university na inayoitwa Institution? Je! TCU inazitambua hizi bachor Degree kwa weight tofauti? Mada Kuna...
  19. Ni muda muafaka sasa TCU na baadhi ya vyuo wasitishe kwa muda udahili wa kozi ya ualimu

    Juzi tumeona waziri mkuu Majaliwa kassim Majaliwa bila aibu akisimama na kuipigia debe taasisi ya VETA ianze kudahili wanafunzi wenye degree.. na hii kutokana na uwepo wa wahitimu wengi wenye degree wasiokuwa na Ajira na moja ya kozi yenye mshike mshike kwa sasa katika soko la ajira ni ualimu...
  20. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…