vyuo

  1. K

    Mgomo wa wahadhiri vyuo vikuu wanukia

    Ni kufwatia kukamatwa na kupewa kesi ya ugaidi kwa wenzao wa UDOM Vikao vya chama cha wahadhiri vyuo vikuu vinaendelea ili kuona namna ya kuchukua hatua stahiki za haraka Eitha kutokana na hali ilivyo usiri umetawala na huenda wakatoka na azimio moja tu la mgomo.
  2. Msaada wa Ajira, Vyuo, Mikopo na Nyaraka Mbalimbali

    MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE πŸ”“ π™Ίπš„π™΅πš„π™½π™Άπš„π™° π™°π™²π™²π™Ύπš„π™½πšƒ πšˆπ™° π™°π™Ήπ™Έπšπ™° π™Ώπ™Ύπšπšƒπ™°π™» & πš„πš‚π™·π™°πš„πšπ™Έ π™Ίπš„π™·πš„πš‚πš„ π™°π™Ήπ™Έπšπ™° π™Ώπ™Ύπšπšƒπ™°π™» πŸ’«Maombi ya Vyuo ( Degree,Diploma & certificate) πŸ’«Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu...
  3. 3

    Vyuo vikuu 10 bora Afrika 2026

    Vifuatavyo ni vyuo vikuu bora Africa Mashariki 2026: 1. Chuo kikuu Addis Ababa ( Ethiopia) 2.Chuo kikuu Makerere(Uganda) 3.Chuo kikuu Nairobi( Kenya) 4.Chuo kikuu cha Khartoom ( Sudan) 5. Kenyatta University( Kenya) 6. Strathmore University( Kenya) 7. Chuo kikuu cha UDSM( Tanzania) 8. Chuo kikuu...
  4. V

    Msaada kwa wanaoomba vyuo na mikopo

    Kama una changamoto ya kuomba vyuo au mkopo tuwasiliane kwa 0623446608 Kumbuka:Si kwaajili ya fedha ni kwaajili ya kukusaidia IKIWA tofauti screen shot mawasiliano yetu na jina langu halisi (tukiwasiliana utalijua) ulete hapa or whatever.Nafanya ivi kwasababu ni changamoto kubwa inayofanya...
  5. Chuo Direct: Msaada Kamili Waombaji Vyuo

    KARIBU CHUO DIRECT* Hiki ni Kikundi Rasmi cha Msaada kwa Waombaji wote wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania. Huduma Tunazotoa: 1. Mikopo ya HESLB- Maombi kamili, marekebisho ufuatiliaji 2. Uhakiki wa Vyeti - Vyeti vya kuzaliwa. 3. Namba za AVN & Loss Reports - Tunakusaidia kuipata kwa...
  6. A

    HOJA WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA

    WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupanua fursa za elimu ya juu. Serikali imeendelea kuongeza uwekezaji kupitia mikopo ya wanafunzi...
  7. R

    Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  8. Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
  9. A

    Kwa shule na vyuo binafsi, je umeandaa na kuwasilisha taarifa zako za fedha zilizokaguliwa za mwaka 2025 kwenda TRA?

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  10. KERO HR vyuo vikuu vya Tumaini Makumira na Tumaini Dar es Salaam (Dartu) kuna tatizo gani? Mnaita watu kwenye interview halafu mnapotea mazima. Kulikoni?

    1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
  11. C

    Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
  12. A

    KERO Responded Wahadhiri nao walalamikia Mfumo wa PEPMIS, washindwa kupandishwa daraja licha ya kukidhi vigezo vyote

    Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na sharti la mfumo wa PEPMIS (Performance Evaluation and Project Management Information System), licha ya...
  13. Msaada wa Maombi ya Ajira, Vyuo na Mikopo

    HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA 1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL 2. KUJISAJILI TAESA 3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS 4. KUANDAA APPLICATION LETTER 5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI 6. AVN 7. TRANSCRIPT HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI 1. KUPATA CHETI CHA...
  14. Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  15. J

    Changamoto Vyuo Vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Vijana wenye Ulemavu: Ukosefu Walimu na Vifaa

    Habari Wana nzengo Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
  16. A

    KERO Kuna maafisa NACTVET wanacheza michezo kuvifelisha Vyuo vya Kati kwa maslahi yao binafsi

    Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa ndiyo waweze ku-approve maombi yao, funaomba mtusaidie. Kiulizeni Chuo cha St Joseph College, tawi...
  17. Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

    Husika na mada tajwa hapo juu msaada πŸ₯Ί please
  18. Wale wote tuliopitia vyuo vya Ualimu TTC miaka hiyo tukumbushane tamu na chungu za vyuo vya TTC

    TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu. Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee! ingawa ni strictly prohibited vyuoni, hii ilitufanya tumalize chuo bila UTI na UKIMWI. KARIBUNI
  19. TAHLISO wameandaa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu β€œNever Again” linalofanyika Ubungo Plaza, leo tar 16/05/2026!

    Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
  20. Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…