vyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Gharama ya ujenzi wa vyumba 3 vyote self?

    Habari. Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu kiasi gani, naomba mwenye uzoefu anijuze. Asante.
  2. B

    INAUZWA Hostel ya vyumba 12 inauzwa Tanga Kange kasera

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
  3. S

    House4Rent Napangisha Nyumba ya vyumba vitatu Kiseke-Mwanza

    Napangisha Nyumba Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita.. Karibu sana!
  4. Video: Itakuwa vyumba vimejaa

  5. T

    Ramani ya vyumba viwili, kimoja master, jiko, sebule na public toilet kwa 5000 tu

    Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox. NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
  6. Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

    Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema "Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga...
  7. House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  8. Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  9. M

    Dalali vyumba vya kupanga Tanga anahitajika haraka sana.

    Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM. Ova.
  10. Mbeya: Mwanafunzi wa Form 4 akamatwa kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Serikali Iyela ya Jijini Mbeya aitwaye YESSE CHARLES [17] kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa vya Shule hiyo. Ni kwamba, Septamba 13, 2023 huko katika Shule ya Sekondari...
  11. W

    Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako. Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
  12. L

    Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  13. Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

    Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha. Wewe ni Graduate au...
  14. Ndejembi Hajaridhishwa na Usimamizi wa Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Chemba - Dodoma

    NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb) hajaridhishwa na hali ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na Ofisi katika halmashauri ya wilaya...
  15. Jenga kwako, usiridhike na vyumba / apartment za kupanga! ukifariki msiba utaombolezwa kwenye apartment? watoto wataishi wapi kodi ya mwezi ikiisha?

    offcourse ni vizuri kijana unamkuta kapanga apartment yake ama self contained, ana usafiri wake, biashara ama kazi inamlipa fresh, ana mke na watoto wawili tayari, n. k lakini kipengere kinakuwa kwamba sehemu anayoishi ni ya malipo kwa kila mwezi bado hana pake. Jenga kwako hata kama ni nyumba...
  16. D

    Napangisha nyumba maendeo mbalimbali Dar

    Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi nicheki kupitia 0658820041
  17. Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

    Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea. ~ Bajeti laki 5 (500,000). ~ Iwe maeneo tulivu Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru. Najua...
  18. Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
  19. Wanafunzi 2, 000 warundikana kwenye vyumba 12 vya madarasa

    Wanafunzi 2, 084 wa Shule ya Msingi ya Mvinza Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanabanana katika vyumba 12 pekee vya madarsa vilivyopo shuleni hapo huku zaidi ya nusu yao wakikaa chini sakafuni kutokana na upungufu wa madawati. Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mvinza, Zacharia Charles...
  20. House4Sale Nyumba mpya ya kisasa ina vyumba vinne inauzwa Goba, Dar

    Nyumba ipo Goba kwa Robert, * Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake . *Ina Spanish tiles. *madirisha ni pvc *ina fence *ina vyoo (toilets) 5 . *umeme na maji yapo. *uwanja wake una ukubwa wa sqm 880 Bei yake tshs. 168 million negotiable Dalali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…