vyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  2. F

    Vyumba vya kupanga maeneo ya Kimara Suka vinapositiwa bei rahisi alafu vizuri kinoma kuna nini huko?

    Wakuu kwema?. Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
  3. Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  4. NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  5. K

    Vyumba vya kupanga Single au Master

    Deleted
  6. Wasimamizi na waangalizi wa mitihani hawataruhusiwa kubeba simu zao za mkononi katika vyumba vya mitihani

    Wizara ya Elimu ya Kenya, kupitia Baraza la Kitaifa la Mitihani la Kenya (KNEC), imeanzisha sheria mpya za usimamizi wa mitihani ya KCSE (Mitihani ya taifa ya shule ya msingi) na KPSEA (Mitihani ya taifa ya shule ya sekondari) kwa mwaka 2024. Miongoni mwa sheria hizo ni kwamba wasimamizi na...
  7. Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  8. Vyumba vinne

    Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
  9. Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa Ukumbi na Vyumba vya kulala Wageni Parokia ya Kasumo; zaidi ya milioni 45 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa. Harambee hiyo imefanyika...
  10. H

    House4Rent Vyumba Master vinapangishwa Karibu na Stakishari Polisi, DSM

    CHUMBA MASTER MPYAA - NJIA PANDA YA SEGEREA JIRANI NA STAKISHARI POLISI (A) Chumba Master Kubwaa Mpya - Kodi 100,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti. Umbali wa Kutembea Kwenda kituoni dk 10 Maji meter yako . Umeme Submeter Kupelekwa kuona 10,000. Ukilipia dalali malipo Mwezi mmoja. Sifa za...
  11. NYUMBA YA VYUMBA VINNE - PUGU KIGOGO FRESH 150,000x4 -0684223374

    Gari inafika sebule, dinning, etc
  12. Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  13. Nakukaribisha uangalie ramani hii ya vyumba 3 vya kulala

    Vyumba 3 vya kulala 1 Master bedroom 2 Normal bedroom Seble, dinning room,jiko,store, public toilet 2 verandahSawa makadilio haya hapa NYUMBA YA VYUMBA VITATU INA SELF MOJA NA VYUMBA VIWILI VYA KAWAIDA : ✴️Sitting ro ✴️Dinnin ✴️Kitchen & Stor ✴️Public toile ✴️1 Self Bedroo ✴️2 Normal Bedroo...
  14. House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  15. Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  16. Naomba kujuzwa gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nje na ndani

    Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
  17. Ramani ya vyumba vitatu

    Habari zenu mabibi na mababu. Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet. Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa...
  18. B

    Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  19. House4Rent Nyumba vyumba viwili vya kulala Mbezi Beach

    FOR RENT - TSHS 300,000 NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI. MAELEZO ZAIDI - 0679268006 Ipo Mbezi beach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala. Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
  20. Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…