vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukweli mchungu, vyombo vya dola vyote, sheria zote zipo kwa ajili ya kumdidimiza mtu wa chini

    Kivuli cha Sheria na Wanyonge: Je, Vyombo vya Dola Vinamlinda Nani? Katika jamii ya leo, kuna swali gumu linalozunguka kwenye vinywa vya wengi na kupiga kelele katika mioyo ya wale wote wanaopambana kila siku kupata riziki: Je, sheria na vyombo vya dola vimekuwa ngao ya kuwalinda wananchi...
  2. Malalamiko makubwa Dar es Salaam ni msongamano wa vyombo vya moto barabarani, ipo mbinu ya siri sana ya kumaliza changamoto hiyo

    Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
  3. TISS, JWTZ na Jeshi la Polisi ni vyombo vya dola? Je, vinaweza kutumika kisiasa badala ya kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba .?

    Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa. *Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
  4. S

    Hivi kwanini wanataka sana maridhiano na CHADEMA wakati majeshi na mahakama ni vyombo ambayo ni mali yao?

    Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
  5. Ukimya wa wananchi na kukosa Imani na vyombo vya dola tahadhari kwa taifa

    Kuna jambo ambalo linapaswa kutupa tafakari kubwa kama taifa. Taifa linapofika hatua ambayo baadhi ya wananchi wanaona ni salama zaidi kukaa kimya kuliko kuzungumzia masuala ya nchi yao hadharani, tunapaswa kujiuliza maswali mazito kuhusu hali ya demokrasia, utawala wa sheria na uhuru wa...
  6. A

    Hukumu ya Lissu mpaka tukaitafute kwa Mitandaoni. Vyombo vya Habari hamuoni aibu?

    Kuna ka clip ka tarehe 6 waandishi kama mia hivi wamemzingira RPC Muliro nje ya Mahakama, wamemrushia vi soft ball ( viji swali mlenda mlenda) viwili kuhusu whether hali mjini ni shwari au sio shwari. Sasa katika wale woote wale hakuna hata kichwa kimoja kilichoingia ndani ya mahakama chenye...
  7. Vyombo vya habari vya Tanzania ni vya ovyo kiasi hiki? Lissu ameachiwa na Mahakama au kashinda kesi ya uhaini dhidi ya Serikali kandamizi?

    Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake. Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani. Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
  8. Balozi CP Kaganda aungana na Wanawake Vyombo vya Ulinzi Mkutano (ICHLR)

    Baadhi ya wanawake waliopo katika vyombo vya ulinzi na usalama wameshiriki Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIC) jijini Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe...
  9. Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  10. E

    Nini kinapelekea utofauti wa miaka ya kuhitimu shahada ya uuguzi na ukunga Tanzania ikiwa vyombo husika vinaelekeza miaka 4?

    Kwa Tanzania kada ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya Shahada(Degree) inasomwa miaka 4 ukiongeza mmoja wa intership,lakini kwa masikitiko ni kwamba kuna baadhi ya vyuo sitavitaja vinatoa iyo shahada kwa miaka 3 wengine miaka 2.5 Ni kwanini Baraza la Uuguzi na Ukunga(TNMC) limeshindwa kusimamia hii sera...
  11. Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  12. G

    Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

    Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
  13. Kwanini Martin Maranja Masese hajawahi kuletewa shida na Vyombo vya Dola?

    Sii kwa ubaya. Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem. Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
  14. Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  15. Nimeambiwa niwe naosha vyombo baada ya chakula cha Usiku. Je wako sawa au wanaionea

    Nimeitoa sehemu. Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri, Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
  16. Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  17. CCM: Je, vyombo vya Serikali vinatumikia taifa zima au vinatumiwa kwa maslahi ya chama kilicho madarakani?

    Demokrasia imara inahitaji wananchi watofautishe chama, Serikali na dola; na pia inahitaji taasisi za umma ziwe na uwajibikaji, zifuate sheria na zihudumie wananchi wote bila kujali chama wanachounga mkono. Jambo la msingi: Kuchagua chama ni uamuzi wa kisiasa; vyombo vya ulinzi na usalama ni...
  18. Huwezi kutenganisha shutuma za Rais wa TLS na CHADEMA. Anyway tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye kazi yake nadhani Kila mtu atafikiwa

    Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania. Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
  19. K

    Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao

    Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao. Imebaki utekaji, utishaji na uchawa. Lakini kwa Watanzania wengi wanataka demokrasia na kuweza kuchagua wawakilishi wao ba sio kuchaguliwa na wachache. Hawa wakandamizaji wanapigana vita ambayo kwa Watanzania...
  20. PICHA: Hivi, polisi wa usalama barabarani, mmeiona hii?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…