vyeti

  1. A

    Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Wakuu naomba kufahamishwa je uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa Rita kwa waombaji mkopo 2021/2022 ushaanza?
  2. L

    Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  3. N

    Mashairi ya Diamond akiwashangaa Watanzania kulalamikia utekaji na forgery za vyeti vya watawala

    Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
  4. Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

    Habari wadau! Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia...
  5. Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

    Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo. Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako. Sifa ya vyeti O-level kina masomo 10 hakina F A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam Degree ya Sua na Post graduate diploma...
  6. Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  7. Vyeti feki: Baada ya form 4 sasa angalieni na digrii feki maofisini. Wako wengi wanatuumiza kwa huduma mbovu

    Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa. Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya...
  8. F

    TFF msiwabebe wagombea wenye vyeti feki Kilimanjaro

    Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limesitisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa soko mkoani Kilimanjaro huku usitishwaji huo ukiacha maswali mengi kuliko majibu Kwanza wamesitisha mchakato huo huku tararibu zote zikiwa zimefanywa ikiwamo usaili wa wagombea pamoja na uhakiki wa vyeti vya elimu...
  9. Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

    Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi ======== MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja yangu ambayo nataka niijenge hapa, pamoja na kuunga mkono zoezi la serikali kuwatambua watumishi wenye...
  10. C

    Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  11. Kipindi cha Kipanya; tukishapiga nyungu tupewe vyeti

    Chanjo hamleti basi tupeni vyeti tukishapiga nyungu na sisi tuonyeshe tunavyopigana na COVID.
  12. Kutumbua watu wasio na vyeti makazini was not wise decision

    Hello JF leo nimewaza, Displacing older workers with 'better educated young persons' has not been wise,,,, ,its unfair because these older people might have valid reasons as to why they are not qualified,. one including missing (quality) education opportunities while they were young due...
  13. J

    Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  14. C

    Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

    Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
  15. Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
  16. Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

    Habarini wana JF, Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani. Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania. Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree...
  17. J

    Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  18. Vyeti vya ndoa

    Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata. Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite. Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...
  19. S

    Je, vyeti vya 'Roots and Shoots' vimewahi kuwasaidia?

    Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute. Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho? Asante
  20. Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao? Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…