vpn

  1. G

    Facebook wanadai bila VPN huwezi KUFUNGUA jiandaeni soon inaweza kutokea na Jf pia Lisu anatetea uhuru wa maoni na habar

    Facebook imekuwa jukwaa kubwa la live update ya kesi ya Lisu Kwa muda mrefu . Leo Kuna malalamiko ya uzito wa KUINGIA huko bila VPN
  2. PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  3. M

    Kuhusu VPN.

    Naomba msaada kwa anayejua VPN yenye uhakika wa ulinzi mzuri.
  4. Jamiiforum sasa rasmi kutumika bila VPN

    Mtandao wa Jamiiforum sasa upo hewani bila VPN, baada ya kula Ban kwa miezi kadhaa
  5. Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?

    Hizi VPN tuna download unatumia free kwa muda wa siku chache tu inaanza kutaka ulipie ndo utumie. Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?
  6. Mtandao wa JF unapatikana bila VPN?

    Nashindwa kuingia mpaka niwashe VPN au ni wenge langu tu?
  7. Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  8. R

    JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
  9. Ni muda nazama JF bila VPN. Kelele za US zimefanywa iachiwe nini?

    Zaidi ya wiki nateleza tu. Tumeachiwa?
  10. Rasmi Unatiririka JF bila VPN

    Tangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN. Sasa ni kutiririka bila vpn
  11. Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

    Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN? Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
  12. R

    Msaada tafadhali kuhusu VPN

    Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
  13. UCC Blocks 500 Porn Sites, Admits VPN Challenge

    The Uganda Communications Commission says it has blocked at least 500 pornographic websites, including foreign platforms, but acknowledges that users can still bypass restrictions using VPNs. The Uganda Communications Commission (UCC) has directed telecommunications operators to block at least...
  14. R

    Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  15. Jamiiforums.com Inapatikana Bila VPN kwakutumia Operamini

    Wakuu kama heading inavyojileza nimejaribu kuingia JF.com, kupitia app ya Operamini naona inakubali vyema kabisa. Hivyo basi Kwa wale wenzangu wasiotumia VPN na wenye limited bundles tutumie Operamini
  16. Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

    Wakuu habari zenu Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
  17. R

    Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

    Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
  18. Tuisaidie JF yetu, tusambaze elimu ya matumizi ya VPN

    Wakuu, Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi... Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe...
  19. Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  20. M

    Mtandao wa Tiktok umefunguliwa, sasa unaweza kuperuzi Bila VPN

    Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN. https://www.jamiiforums.com/threads/tiktok-yafungiwa-tanzania-bila-vpn-uwezi-kutumia.2398433/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…