viwanja

  1. A

    Plot4Sale Mashamba na viwanja

    Karibu miradi ya viwanja na mashamba Mashamba ekari 1- 2,000,000 Mahali: Bagamoyo Kiwangwa na Chalinze Gwata Ukilipa cash unapata punguzo la 10% Unaweza kulipa kidogo kidogo kwa miezi 20 Viwanja Bagamoyo Kiromo 12000/sqm Bagamoyo Fukayose 8500/sqm Chalinze Lugoba 5000/sqm Piga 0743004080...
  2. Hivi viwanja mbona bei rahisi sana

    Kkwanja cha sqm 500 kinauzwa 1.5m unatanguliza 300k kisha unamalizia ndani ya miezi 6, au ni mbwinde sana huku?
  3. N

    Nimepata viwanja Mvuti, jirani na Chanika. Vinafaa kwa uwekezaji wa rasilimali ardhi?

    Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi. Kinachonifanya nisite kulipia...
  4. 0

    Hivi viwanja vinavyouzwa Mvuti na halmashauri ya jiji la dar kukoje?

    Habari za jioni wana daslamu, Katika pitapita zangu kwenye mfumo wa Tausi, nimebahatika kukamata kiwanja cha Mvuti baada ya viwanja kurudi leo (Hii naona kuna watu walishindwa kulipia application fee). Nipo mkoani, na Dar huwa nakuja mara moja moja sana. Ila uwa na ndoto ya kuwa na makazi...
  5. Vilio mradi wa viwanja Mvuti Dar es salaam. Uzoefu wangu umenisaidia.

    Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo. Malalamiko...
  6. H

    KERO Inakuwaje viwanja vikiuzwa kwenye Mfumo wa TAUSI mara moja vinakuwa 'Sold Out'?

    Viwanja vya Mradi wa Mvuti, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, viliwekwa kwenye mfumo vikiwa katika hali ya Preview, lakini mara tu vilipoanza kupatikana (Available), vilibadilika moja kwa moja na kuwa Sold Out. Hili limekaaje, wakuu? Kuna michezo gani inaendelea nyuma ya pazia? Wanachofanya ni...
  7. A

    KERO Tunahitaji ufafanuzi kutoka Wizara ya Ardhi: Wakazi wa Nala Chihoni tulionunua viwanja na kupewa hati ya Wizara tumepewa siku 14 kuondoka

    Wakazi wa Nala Chihoni tulionunua viwanja kupitia kampuni ya Infinity Real Estate iliyopo Dodoma mtaa wa Jamal na kupewa hati ya wizara tumepewa siku 14 kuondoka, notice ifikapo tarehe 1 Novemba 2026 tutabomolewa nyumba zetu— Halmashauri na Wizara ya Ardhi zitoe majibu. Niliingia mkataba wa...
  8. Tujikumbushe kipindi hicho ni viwanja gani vilikuwa HOT?

    Muwe na wiki njema
  9. Viwanja viwanja chanika karibu na philipo mpango aliyewahi kuwa Makamu wa raisi tanzania

    Kwa wale wanaotaka kumiliki kiwanja karibuni
  10. Viwanja bagamoyo

    pata viwanja Kwa bei nafuu Bagamoyo makurunge Kuanzia Milion moja na laki tano unajipatia kiwanja chenye ubwa wowote ofa hii ipo paka Mwezi wa 12 Kwa mawasiliano zaidi 0742749886 0616199464
  11. F

    Viwanja Vinauzwa Vikawe, Vimepimwa

    Viwanja vinauzwa vikawe, 4 km kutoka baobab secondary. kuanzia sqm 400 mpaka 700 sqm bei tzs 30,000 tzs kwa sqm vimepimwa na wizara na hati unapata malipo ni kwa cash ama advance payment na installment 0796171467
  12. Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  13. F

    Viwanja Vinauzwa , Vikawe karibu na Baobab

    Viwanja vinauzwa location; Vikawe, njia ya kwenda kibaha tamco, 4 km kutoka baobab secondary bei: 30,000 tzs kwa sqm malipo cash na installment kuanzia sqm 400-700 vimepimwa 0796171467
  14. Hawa TAUSI siwaelewi inakuwaje viwanja vikipandishwa havikae hata masaa 3 unakuta vinebebwa, tunachezewa au kuna mwamko? Tusifanyiane hivyo

    Haiwezekani viwanja siku hizi havikai kabisa, watu tumeweka mpaka reminder alarm inaita kuchungulia kwenye App kila kiwanja ikiclick mzigo unaload masaa ukicancel request ukarefresh kimebebwa tayari. Unacheki kingine ambacho ni cha blue nayo hivyo hivyo, ninkuna mwamko au wilayani mnatuchezea...
  15. Viongozi Wajenga Viwanja, Wengine Msikiti wa Bilioni

    Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21? Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao? Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
  16. Z

    Tunajitahidi kujenga viwanja vya mpira (Afcon) lakini timu yetu bado mbovu.

    Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027? sina mengi ya kusema.
  17. Plot4Sale VIWANJA KILUVYA MADUKANI JIRANI NA SHULE YA MSINGI TONDORONI

    MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja ✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa ✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
  18. Wahitaji wa vyumba vya kupanga, nyumba na viwanja bei rahisi maeneo ya ukonga, majohe na chanika, pitia hapa

    Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
  19. A

    KERO Wananchi Ubungo Kibangu tunadai hati za viwanja, Manispaa ya Ubungo inatuzungusha

    Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671. Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
  20. A

    KERO Wizara ya ardhi mtusaidie! Madalali wamegeuza bei za viwanja kuwa janga la kitaifa kwa bei zisizo halisi

    Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…