viwanda

  1. A

    DOKEZO Mamlaka za Serikali zichunguze Mradi wa Kongani la viwanda Maranje wenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 300

    Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030. Hata...
  2. Vijana na biashara za viwanda

    Wakuu hivi kwanini vijana hatugusi kabisa biashara za viwanda tunakimbilia maduka tu Wakati miaka ya nyuma pale kitumbini palikua ni soko la wahindi tu sasa wamebaki wachache wengi wao Wamehamia kwenye uzalishaji wa bidhaa kwanini sisi tusifikirie huko au tunakwama wapi
  3. D

    DAWASA kutumia viwanda vya ndani kuchochea kasi utekelezaji miradi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa sambamba na kuimarisha upatikanaji wa vifaa vinavyosaidia utoaji wa huduma ya majisafi...
  4. M

    Shabiby: Viwanda vya Juisi vinaweka picha ya tunda kumbe vinaweka kemikali

    Wakuu kumbe Viwanda vinavyotengeneza Juisi huwa hawatumii matunda hata kidogo bali ni kemikali tupu, na wanatuwekea picha za matunda. Hayo maneno yamesemwa na Mbunge Shabiby Bungeni, Mei 22, 2026. Hatari sana,
  5. Ahmed Shabiby: Mapapa makubwa yamehodhi tenda za kuleta dawa nchini, nyingi ni feki na zina Milligram chache

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa maslahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa. Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya...
  6. Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

    Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana Litazalisha umeme Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni...
  7. A

    KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  8. Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  9. INAUZWA Vifaa bora vya umeme wa majumbani, minara, viwanda, pump za visima, n.k

    Je, Umekuwa ukijiuliza utapata wapi vifaa bora vya umeme kwa bei nafuu zaidi? Rafiki Electrical & Tech Solutions, Niwauzaji, wasambazaji na watengenezaji wa vifaa bora sana vya umeme wa Nyumbani, Minara, Viwanda n.k hapa Tanzania na Nje ya Tanzania. Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Narung'ombe na...
  10. H

    Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  11. Dkt. Nchimbi: Mpango wa Ushirikiano kati ya Vyuo na Sekta ya Viwanda ni Hitaji la Lazima

    https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  12. H

    Mbunge wa viti maalum mara auliza swali kuhusu uwekezaji wa viwanda

    MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu mazuri yaliyotolewa pamoja na Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kumpa nafasi ya kuuliza swali. Katika swali...
  13. Ulipokuwa mgodi wa Buzwagi kujengwa Kongani maalumu ya viwanda

    Serikali imelitangaza eneo ulipokuwa mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi kuwa sehemu ya kujengwa eneo maalumu la kongani ya viwanda “Buzwagi Special Economic Zone” baada ya kuhitimishwa kwa shughuli za uchimbaji katika eneo hilo. Hatua hiyo imewekwa wazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  14. MAKALA YA NANE “JKT: Injini ya Kujitegemea- Kutoka Ardhi, Viwanda Hadi Mawazo

    Ndugu zangu, Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo. Hapa...
  15. L

    Kutoka vibanda hadi viwanda, maonyesho ya CIIE yamekuwa "chachu" ya ushirikiano wa China na Afrika

    Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
  16. Singida: Nilitegemea kuona Viwanda vya Ufugaji kuku

    Habari Tanzania ! Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima? Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ? Karibuni
  17. GE2025 CHAUMMA: Yaahidi kuwashughulikia walioua viwanda, kuondoa kodi kwenye dawa

    Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa...
  18. KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  19. S

    Viwanda vya mafuta ya mawese kigoma-urgent

    Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil. Asante
  20. RC Balozi Dkt Batilda Buriani: Tanga inaviwanda 4,000 ajira 65,000 zimezalishwa na viwanda hivi Wamachinga 2,300 wamepatiwa vitambulisho 1,100

    Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…