Mimi ni Afisa Afya wa Kata katika Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida. Natafuta mtumishi mwenzangu aliye tayari kubadilishana kituo cha kazi na mimi kwenda mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro au Singida.
Mwenye nia ya kubadilishana au anayefahamu mtu anayehitaji nafasi ya kwenda Mkalama...
Katika kufatilia sakata la usimamishwaji wa ndege yaliyotokea jana, kumbe sikujua taifa lenye nguvu duniani lililotolewa kamasi na Iran bado linatumia mifumo ya miaka ya 70 katika uwasilishaji wake wa taafifa za ndege na haliya hewa.
Najua vijana wengi wa leo hasa wale waliotoka vijijini hata...
Habari mpya kabisa....
Iran imeshambulia vituo vya meta vya Elon musk kwa kisingizio vinatumika kijeshi katika kuwarahisishia marekani na Israel katika kuhujumu nchi yao.
Kama ninavyoongea hapa, Facebook haipatikani duniani na baadhi ya huduma za meta
Ni yapi maoni yako na ni wapi tunaelekea...
Habari mpya kabisa....
Iran imeshambulia vituo vya meta vya Elon musk kwa kisingizio vinatumika kijeshi katika kuwarahisishia marekani na Israel katika kuhujumu nchi yao.
Kama ninavyoongea hapa, Facebook haipatikani duniani na baadhi ya huduma za meta
Ni yapi maoni yako na ni wapi tunaelekea...
Lt. Herbert Matanda Mabonga, anasema alihudumu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kama afisa wa ujasusi na baadaye aliliacha jeshi. Katika video/tamko refu lililotolewa Septemba 30, alidai kuwa vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu...
Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru.
Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi.
Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
Anonymous
Thread
mabasi
maeneo
msongamano
nje
public
public toilets
ukosefu
umma
vituo
vyoo
vyoo vya umma
Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au kutoka vituoni.
Baada ya upanuzi wa barabara, umbali wa kuvuka umeongezeka, lakini katika baadhi ya...
Anonymous
Thread
barabara
hatarini
morogoro
mwendokasi
vituovituo vya mwendokasi
wapo
watumiaji
Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana.
Wanasiasa wakae mbali na biashara
Hiki kitu huwa najiuliza sana na nimekutana na hii changamoto vituo vingi sana hasa vya serikali yaan unatibiwa lakini unacho toka nacho ni dawa basi lakini taarifa zingine za maandishi wanabaki nazo wao na hata daftari walilo kuandikia dawa na maelezo ya matibabu wanabaki nalo wao.
Sasa...
Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi.
Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
Habari za kazi Wakuu, ninaandaa orodha ya njia na vituo vya daladala Dar es Salaam, na ningependa kupata msaada kutoka kwa wanaozifahamu hizi route.
Nimekusanya taarifa za njia hizi:
Buzastendi → Kawe kupitia Keko
Buzastendi → Kawe kupitia Buguruni
Buzastendi → Makumbusho kupitia Keko...
Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini.
Hatua hiyo...
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.
Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na...
Ndugu Admin,
Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho.
Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴...
Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo.
Kwa mfano, kuna vituo vyenye wafanyakazi watatu pekee lakini bado vina Afisa Rasilimali Watu (Human Resources Officer)...
Anonymous
Thread
chuo
chuo kikuu
chuo kikuu huria
huria
kikuu
mikoani
tanzania
vituo
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo yaliyofikiwa, changamoto zilizojitokeza, na mikakati ya kuzikabili.
Hapa kuna mambo makuu aliyozungumza:
1...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituovituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya