vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Arusha: Babu anayetuhumiwa kulawiti na kumbaka mtoto wa miaka 10 afikishwa mahakamani

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha imempandisha kizimbani Mzee Kiangi Swai, anayekabiliwa na tuhuma za kumbaka na kumlawiti mtoto, pamoja na kumuingizia uume mdomoni, vitendo vinavyodaiwa kuanza tangu mtoto huyo akiwa elimu ya chekechea hadi alipofika darasa la nne. Kesi hiyo iliyotajwa kwa mara ya...
  2. Nchi za Afrika Mashariki zatakiwa kupitia mikakati ya ulinzi ili kukabiliana na vitisho vipya vya kiusalama

    Mabadiliko ya hali ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki yanazitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kupitia na kuimarisha mikakati yao ya ulinzi ili kukabiliana ipasavyo na vitisho vipya na vinavyovuka mipaka ya nchi. Wito huo umetolewa Novemba 19, 2026...
  3. Nchi za EAC zatakiwa kuungana dhidi ya vitisho vya usalama mipakani

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...
  4. L

    Viongozi Wa Dini Waache Kuchafua Nchi Yetu. Sisi Hatuna Wakimbizi na Hatuna Machafuko wala Vurugu wala Vitisho vya Kusababisha Watu kuwa Wakimbizi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimemsikia Kiongozi Mmoja wa Dini Eti anasema Tanzania Tumetoa Wakimbizi. Ningependa kusema Tanzania na Kama Taifa hatuna wakimbizi na Hatujatoa Wakimbizi . Sisi ni Taifa na Kisiwa cha Amani Cha Kupigiwa Mfano Duniani Kote. Viongozi Wa Dini wajifunze kutofautisha Kati...
  5. Nani Kadukua Mitandao ya Serikali ya Tanzania? Je, Vitisho vinasaidia?

    Salaam Tatizo la Polisi wa Tanzania wanaongoza kwa Vitisho wakihisi Wadukuzi wanawaogopa. Sasa watu wamedukua, badala muwekeze kwenye Ulinzi wa kimtandao, nyie mnatisha. Hadi mtu anadukua unadhani anakuogopa? Lengo la mada ni kutaka kujua kama vitisho vitisho vitasaidia watu wasidukue...
  6. Kwa nini vitisho havizuii unywaji wa pombe?

    Kwa miaka mingi, kampeni nyingi za afya zimekuwa zikitumia jumbe mbalimbali: "Acha pombe, ni mbaya kwa afya yako." Hata hivyo, wataalamu wa afya ya jamii sasa wanakubaliana kuwa ujumbe huu pekee hautoshi. Watu wengi sasa tayari wanajua athari za pombe, lakini bado wanakunywa. Tunaona siri ya...
  7. Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Dah bongo inachekesha sana https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr Bongo nyoso
  8. Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema; "...kama...
  9. O

    Homa Bay: Goonism, Kauli za Vitisho na Kengele ya 2027

    Matukio yaliyoshuhudiwa Homa Bay wakati wa ziara ya Linda Mwananchi mnamo Agosti 16, 2026, yanapaswa kuwa zaidi ya habari ya siku moja. Kwa mwananchi, yanapaswa kuwa kengele ya tahadhari tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ziara hiyo ilikumbwa na vurugu, barabara zikazuiwa kwa mawe, magari...
  10. Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  11. Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  12. Je, Tuko Tayari Kukabiliana na Vitisho vya Usalama Julai 7?

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa wepesi wa kuamini kila taarifa inayosambazwa bila uthibitisho rasmi, ni wajibu wa kila mwananchi...
  13. W

    Viongozi wetu wapunguze vichambo na vitisho wanatakiwa kujifunza kufanya mambo proffessionally

    Hivi tangu lini ukamuona msemaji wa Serikali wa Marekani anasimama na kuanza kuchamba raia au wafanyakazi wengine? --------------------- Nimesikiliza speech ya Msigwa jana yaani amenikera alichokuwa anataka kukiwasilisha kilikuwa ni kina maana lakini uwasilishaji ni sifuri. Hata kama ni maafisa...
  14. So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  15. A

    KERO Askari Magereza Feki Anatumia Vitisho na Matukano

    POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU. KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA KUTOA MATUSI NA KUSEMA YEYE HAOGOPI YEYOTE NA MATUSI JUU. WATU KAMA HAWA NDIO WANAOCHAFUA TASWIRA YA...
  16. Udhaifu wa intelijensia ya "CIA" katika usomaji wa vitisho vinavyoibuka

    👉 1. Bay of Pigs (1961) - CIA ilipanga kuuangusha utawala wa Fidel Castro kwa kutumia majeshi ya wahamiaji wa Cuba waliokuwa uhamishoni. Operesheni ilifeli vibaya baada ya Cuba kujua mapema na Marekani kukosa msaada wa anga wa kutosha, hivyo washambuliaji wengi walikamatwa au kuuawa. 👉...
  17. P

    Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

    Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini ========== US military says it struck southern Iran in 'self-defence' The US military said it...
  18. Tetesi: CHADEMA, Heche na Red Brigade: Vitisho Katoro

    ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao. Inaelezwa kuwa asubuhi ya...
  19. R

    Kama mzee Joseph Sinde Warioba anafanyiwa ushenzi huu wa vitisho, Je sisi kwangu kukavu weka mchuzi lazima tufe sana as it is today!

    Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo vya 29 October, 2025 vitakuwa in terms of millions! All in all washauri wa mama ndio wanamshauri vibaya
  20. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea ifanyiwe uchunguzi, Watumishi Walimu tunadai stahiki zetu, tukihoji tunapewa vitisho

    Kero yetu ni kutolipwa fedha ya kujikimu, sisi ni Walimu Ajira Mpya mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, tukifuatilia tunapewa majibu ya kukatisha tamaa, na vitisho pia!! Serikali itusaidie, maana hatuna pa kwenda!! Ajira mpya ya 2026, wamekuja, ndani ya wiki moja tu wakalipwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…